Jenerali ulimwengu kauliza maswali machache tu,yaliyotosha kufungua akili.the miraculous healing at loliondo has no theological,biblical,or clinical grounds.
Jenerali ulimwengu kauliza maswali machache tu,yaliyotosha kufungua akili.the miraculous healing at loliondo has no theological,biblical,or clinical grounds.kkkt has rushed to back the claims.they could take enough time to examine the phenomena,for, satan may do this to saw confusions.has the church done decernment of the spirit to know if it is authentic? Not all comes from GOD.
Not long since the similar story rose and died in bkb.remember! DECI, POPOBAWA,The miraculous islamic child born with extraordinary knowledge on the quran? Where are they? If mama rwakatare can bring back to life only the misukule,why not those who are dead but not misukule.i have wrote this as Gaunilo said,ON BEHALF OF THE FOOL.
Ulimwengu ndio huyo bwana huwa aamini kabisa kwenye mambo kama hayo.
Hatuwezi kumhukumu Generali kwani ni haki yake kikatiba kutoa maoni yake. KKKT imekuwa na mtumishi huyu akiwa kama mchungaji wa kanisa hilo kwa miaka mingi kipindi chote hicho amekuwa akifanya shughuli za kichungaji pasipo shaka hivi KKKT bado inamwamwini mchungaji huyo kihuduma. KKKT ni moja ya makanisa ambayo yanaamini miujiza na kuwa Mungu anauwezo wa kumtumia mtu yeyote pasipo mashaka ilmradi jina ya Yesu linatumika kwa usahihi kitu ambacho mchungaji huyo anakifanya na amekiri waziwazi kuwa kinachoponyesha sio maji ya mizizi hiyo bali ni neno la Mungu. sina uhakika kuwa Generali anamwamini Mungu wa KKKT kama sio hivyo ni afadhali akae kimya au ajaribu kufanya uchunguzi kwa hao wagonjwa waliopata hiyo dawa ili ajiridhishe na kutoa ushauri kwa KKKT. sijajua imani ya Ndugu Generali ila napenda nimjulishe kuwa kuna Mungu ambaye hana mipaka na anaweza kufanya jambo lolote bila kuulizwa swali, huyo ndiyo Mungu aliyeumba mbingu na nchi, bahari na wanyama na kila kitu ambacho kipo nje ya kazi za mikono ya mwanadamu, ni mungu wa ajabu maana mambo yake hayaelezeki. kutokana hili la Loliondo tunaamni ndiye Mungu anayeweza kufanya hivyo. Ingekuwa ni kazi za kishirikina mpaka sasa kwa wingi wa watu waliokwenda kule tungeshapata habari kuwa dawa inayotolewa na mzee huyo ni ya kitapeli. mpaka sasa kimya hivyo naomba generali asiwe na haraka ya kupinga bali afanye utafiti kwanzaJenerali ulimwengu kauliza maswali machache tu,yaliyotosha kufungua akili.the miraculous healing at loliondo has no theological,biblical,or clinical grounds.kkkt has rushed to back the claims.they could take enough time to examine the phenomena,for, satan may do this to saw confusions.has the church done decernment of the spirit to know if it is authentic? Not all comes from GOD.
Not long since the similar story rose and died in bkb.remember! DECI, POPOBAWA,The miraculous islamic child born with extraordinary knowledge on the quran? Where are they? If mama rwakatare can bring back to life only the misukule,why not those who are dead but not misukule.i have wrote this as Gaunilo said,ON BEHALF OF THE FOOL.