Loh!

....ukiwa baharini meli ikizama waweza elea bila vifaa vinginevyo na ukwa wa kwanza kufika nchi kavu.... kwenye 6 x 6 mwanaume anatakiwa asiwe na kitambi na awe na kiuno cha size ya 27 - 29 vinginevyo utakuwa hutambui jukumu lako
 
Vita ni vita Muraaaaaaaaaaa......Hapo vijana wa chipsi punzi zitarudia ICU
 
Ahhahahahaha si bora mie na shepu yangu ya kihindi lol
 
Yaani goma kama hili likipata mpigaji anayejua kazi yake utapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…