Login Details: My Girl Friend

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Ni jana tu usiku alikuwa anachezea Laptop yangu.
Leo nimefika Job,nafungua Yahoo Mail,automatic ika m sign in Yeye (May be bila kujua ali set "Sign in automatic" Option.

Nashawishika Kusoma Mails zake ila Nahis ntaumia Roho.
Should i carry on au nifanye kazi za watu kwanza,maana naweza Data Fastaaa.
 
Ivi kuna ishu yeyote ambayo haijawahi kuombwa ushauri humu?

Kuna mtu atakujashindwa kufungua pipi ya kijiti, akasubiri mpaka asubuhi au jumatatu aje ofisini kuianzishia topic walahi.
 
Ivi kuna ishu yeyote ambayo haijawahi kuombwa ushauri humu?

Kuna mtu atakujashindwa kufungua pipi ya kijiti, akasubiri mpaka asubuhi au jumatatu aje ofisini kuianzishia topic walahi.
Ni kweli Kaka,thats why JF ipo, unless otherwise JF ifungwe.
@ MOODS, are you ready for this?
 
Nakushauri sana usizisome sababu utasoma vitu out of context, wewe ukiwa unatafuta vitu vibaya. funa tu na uendelee kazi za tajiri.
 
Kwa heshima na taadhima usizisome ...funga na endelelea na mambo yako.. au mpigie simu mwambie sweetheart umesahau kulog out kwenye laptop yangu usikie atakwambia nini..
 
we potezea, v2 vngne ukvijua vtakuumza moyo!
N bora uachane nazo, ili uepushe mengi yasyoyalazma!
 
Back
Top Bottom