Ila alichokuwa amekilenga mtoa mada anakijua mwenyewe[emoji16][emoji16]Dar ina wageni wengi mkuu,so maeneo hayo yote yanahudumia ubungo mkoa.Hilo ni jambo zuri kwamba uchumi wa Dar unaendelea kustawi na hautaathirika na corona.Serikali itaendelea kupata mapato yake
Na polisi hawakuwa na taarifa!HAhaha wabongo bwana
Mtumish /mhubirin Paulo Bashite jana kasema watu wabaya walinunu majeneza wakaenda kuchimba makaburi.
Mkuu kuzunguka kote huko mmagestini heri lakini?Pamoja na janga, Lodges/Guest Houses [emoji536] zinafurika Sana. Imagine jana nimezunguka gesti zaidi ya 9 Sinza kisha Tiptop zipo full.
Stress release mechanism?