and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,704
HAhaha wabongo bwana
Mtumish /mhubirin Paulo Bashite jana kasema watu wabaya walinunu majeneza wakaenda kuchimba makaburi.
hahahhahaha yaani nitoe pesa ninunue geneza, nipige nalo picha alafu nikachimbe kaburi ?? hakuna mtu mjinga kiasi hicho. hata mirembe kichaa wa hivyo hayupoHAhaha wabongo bwana
Mtumish /mhubirin Paulo Bashite jana kasema watu wabaya walinunu majeneza wakaenda kuchimba makaburi.
HAhaha wabongo bwana
Mtumish /mhubirin Paulo Bashite jana kasema watu wabaya walinunu majeneza wakaenda kuchimba makaburi.
Halafu watu haohao wakawa wakawa wanatumia ambulance za serikali.
Very niceDar kwa uasherati huwezi amini, nahisi huko nyumbani ni full stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha siku ya jumapili wanapata neno la mungu apo Wasafi fmGhafla amekuwa mtumishi?
Unakulaje denda na barakoa mkuu?Cha muhimu wateja wavae barakoa