Lodges/Guest Houses Dar zafurika

Lodges/Guest Houses Dar zafurika

Dar kwa uasherati huwezi amini, nahisi huko nyumbani ni full stress

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio uasherati Bali wanasaidiana kwani Maisha yamebana na mahitaji ya kila siku yapo palepale ukizingatia tulio wengi tumefukuzwa au kusimamishwa kazi kwa kisingizio Cha korona!
Siku nyingine usiuseme uasherati huenda ndio chimbuko la uwepo wako duniani hapa!
 
Hivi ndio nini hiki? Kwanini unapiga gari picha ikiwa nje ya gesti. Unataka nieleweke vipi. Si hata ungekua mstaarabu ukaficha namba na tairi. Sio bure hii ilikua makusudi
 
Naona ulikwenda kuandika chapchap, sasa make wa mwenye gari hiyo akiiona unadhani nyumbani kutakuwa salama au ulitumwa umtafute huyu? Acha umbeya.
 
Naona ulikwenda kuandika chapchap, sasa make wa mwenye gari hiyo akiiona unadhani nyumbani kutakuwa salama au ulitumwa umtafute huyu? Acha umbeya.
Ndugu yangu umeona? Yaani kuna watu wanatabia za kike kuliko wanawake walio saluni. Sasa gesti za Dar zikijaa inamhusu nini? Akitaka bwana vijiwe viko vingi
 
Back
Top Bottom