jitukubwalao
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 195
- 161
Sorry nilikuwa namaanisha kufuliwa nguo bure hiyo ni huduma mojawapo katika hoteli hiyoUwaombe radhi wenye hotel kwa kuwaharibia biashara yao. Unamaanisha nini unaposema kwamba mteja anapata huduma ya KULIWA BURE?
samahani kwa kuandika tofauti na nilichokuwa nataka kukielezea