Lodge na Guest House nzuri Mwanza

Lodge na Guest House nzuri Mwanza

Jamani miye nina safari ya kisemina weekend hii. mnijulishe lodge yoyote ambayo ipo karibu na viwanja vya totoz.
Wengine usiku unakuwa mrefu bila totoz ya kitafutia usingizi
 
Sema hujasema bajeti yako. Mm huwa naenda Mwanza mara kwa mara, km utashindwa Gold Crest na ndugu zake then Adkam na Pigeon ni the second best, hapo holaaa kamata Annox. Ukitaka nje kidogo ya mjini lakini cheap na pazuri Plasma na Murumbasi (if I got the name right). Katika hotel za kati zooooote nilizotembelea Tanzania, hotel yenye heavy best breakfast ni Adkam labda km wawe wameacha mwaka huu wote sijakaa hapo
 
Njoo Comfort lodge (national) wala hutojutia, kuanzia elfu ishirini mpaka elfu arobaini
 
Nenda hapo stend kuna kitu kinaitwa kumalija ni sumu au nenda misana
 
Mara ya kwanza nilifikia OLIVER Nera pale...
Mara ya pili Annox furahisha hapa kwa breakfast ni noma ...
Mara ya tatu Double A lodge Nyegezi... pazuri sana hapa
 
Back
Top Bottom