Kunguni ni mdudu complicated, unaweza ukamuona sehemu kumbe umemleta wewe hapo | assume usingemuona angekuwa kwenye nguo then ukaenda kumuona kwa mshikaji ungeleta mada iyoiyo kwa muhusika “mshkaji”
Mkuuu hyo haifai kabisa nilihama hapo nikahamia NEEMAN 11 hapo kisasa dadek kunguni hatarnikiwa mteja wa lodge hii ya KILIMANJARO hapa njia panda ya Kisasa hapa mjini Dodoma leo asubuhi na mapema nikijiandaa kwenda mazoezini nikaona mdudu akizuzula kwenye net yangu na baada ya kumbonyeza akatoa damu.Chukueni tahadhari kwani unaweza kulipa lodge 30,000 au 25,000 dodoma na bado ukabeba kunguni ukapeleka kwny familia
Sasa hapo ukirudi kwako, simama nje vua nguo zote, oga huko huko nje ndiyo uingie ndani.
Pole sana.
Hapana, hata sijawahi kuwaona .Inaelekea una experience kubwa sana na hawa viumbe
Mbona experience yako inaonesha ww ndio muhusikaHapana, hata sijawahi kuwaona .
Ila nimeshasoma sana kuhusu hawa wadudu na namna wanavyohama.
Ndiyo, ndiyo imenitokea Jana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona experience yako inaonesha ww ndio muhusika
Usiwe unalala Lodge za bei cheeeeNdiyo, ndiyo imenitokea Jana.
Mimi sina hela ya kulala bei Kali.Ahhahaa, haya polee
Usiwe unalala Lodge za bei cheeee
Mimi sina hela ya kulala bei Kali.
Ndiyo, ndiyo imenitokea Jana.
5000Kwa hyo unalalaga za sh. Ngap
Dogo unapogundua unayebishana naye ni mtoto, siyo lazima ukomae hadi ushinde.Dogo endeleza ligi. Mbona unashindwa mapema!
5000
Sawa dogo, jana hatukumaliza. Ulikimbia eeh!Dogo unapogundua unayebishana naye ni mtoto, siyo lazima ukomae hadi ushinde.
Unamwachia tuu ushindi.