Lodge karibu na uwanja wa ndege, Dar

Lodge karibu na uwanja wa ndege, Dar

Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa majina na maelekezo ya lodge nzuri ya gharama ya wastani maeneo ya karibu na Airport ya Dar. Nitakua na safari ya usiku wa manane hivi karibuni na nafikiria kulala lodge ambayo haiko umbali mrefu sana kutokea Airport.
Gharama iwe kati ya20,000-30,000 per night.
Natanguliza shukrani.
kaa hata bar tu muda ukifika unasepa
 
Mfano anaishi mikoa jirani Eg Morogoro au Tanga na Hana relative Dsm?

Anatokaje huko saa 6 usiku ili awahi flight ya saa 8 na wakati huo huo akiwa ameepuka/kupunguza risk zinazoweza kutokea barabarani?
Thank you for your understanding!!
 
Kuna kukatiwa ticket mkuu... na pia sometimes ndege inakuwa necessity knabidi tu ailipie.

Bongo kuna kasumba ya ukipanda ndege unaonekana don. Niliwahi kutua airport Iringa iko kama 15km from town, rideshare taxi wananambia 20k fare. Nikasema bei zenu za kitalii peleka huko

Nikapiga zangu mguu km 1 nikapande bodaboda. On the way nikala lift ya STK mpaka town.
Thank you for your understanding!!
 
Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa majina na maelekezo ya lodge nzuri ya gharama ya wastani maeneo ya karibu na Airport ya Dar. Nitakua na safari ya usiku wa manane hivi karibuni na nafikiria kulala lodge ambayo haiko umbali mrefu sana kutokea Airport.
Gharama iwe kati ya20,000-30,000 per night.
Natanguliza shukrani.
Mkuu, minaomba nikupongeze kwa hii taarifa kwamba unaenda kupanda ndege.
Pia samahani kwa kuchelewa kukwambia kwamba hakuna lodge ninayo ijuwa huko Daslam..
 
Transit lodge iko baada ya kuvuka reli kama mita 50. Ni walking distance kufika terminal 2.
 
Mkuu nakushauri, fikia kwenye hotel yoyote iliyopo karibu, hotel nyingi bar service zinaisha saa 5 - 6 ucku kwa huku dar kama unakunywa piga moja moja ukifika muda wanataka kufunga ita uber nenda ka check in, lodge unaweza ukapitiliza
 
Back
Top Bottom