Lodge karibu na uwanja wa ndege, Dar

Lodge karibu na uwanja wa ndege, Dar

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
3,038
Reaction score
8,397
Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa majina na maelekezo ya lodge nzuri ya gharama ya wastani maeneo ya karibu na Airport ya Dar. Nitakua na safari ya usiku wa manane hivi karibuni na nafikiria kulala lodge ambayo haiko umbali mrefu sana kutokea Airport.
Gharama iwe kati ya20,000-30,000 per night.
Natanguliza shukrani.
 
Kuna moja inaitwa Clouds Motel ipo njia ya kuelekea Buza. Wastani wa KM1 au pungufu toka Airport inaanzia Tshs 30,000.00
 
Piga namba hii kwa booking 0718709505

Lodge hii ipo nyuma ya kituo kipya cha mafuta ambacho kipo mkono wa kulia kwenye taa za kuongozea magari za Airport ukiwa unatokea Tazara kuelekea Ukonga
 
Sawa mkuu, nashukuru sana.... Unakumbuka jina lake, au umesahau?
Barikiwa.
 
Nenda Nairobi Motel, 500metre from Airport.
 
Mtajieni ata za 8000 wazee,mambo ya kulala lodge za bei juu alafu mwenyewe inataka moyo sana..
 
Umeiba route brooo, wataka agana na mchepuko wako the whole night! Fulu raha! Kesho nasafiriiiiiiiii!

Back
Top Bottom