Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,723
- 11,336
Wamepunguza ni elfu 30 wameweka bango njianiFQ Hotel. Ila nadhani rates zao zinacheza kwenye fifty!
Wamepunguza ni elfu 30 wameweka bango njianiFQ Hotel. Ila nadhani rates zao zinacheza kwenye fifty!
Pale aandae 100,000 per nightFQ Hotel. Ila nadhani rates zao zinacheza kwenye fifty!
Kama anaweza ku afford kupanda ndege, I dont see the reason why he should not be able to afford the lodge! By the way amejinasibu kuwa yeye ni Thread starter Dr. Wansegamila ... So tunategemea udaktari pacha wake ni mpunga!Ni kwamba huelewi maana ya out of budget range?
Au since you can afford it unahisi everybody should?
Real ngoja nipitie leoWamepunguza ni elfu 30 wameweka bango njiani
Kuna kukatiwa ticket mkuu... na pia sometimes ndege inakuwa necessity knabidi tu ailipie.Kama anaweza ku afford kupanda ndege, I dont see the reason why he should not be able to afford the lodge! By the way amejinasibu kuwa yeye ni Thread starter Dr. Wansegamila ... So tunategemea udaktari pacha wake ni mpunga!
Ni kweli hapo Clouds Motel patakufaa. Ni jirani tu na yale mataa ya njia ya kwenda Jet/Lumo. Kifupi imepakana na eneo la terminal 3.Shukrani sana mkuu, barikiwa!!
Naunga mkono hoja. Hii itamfaa. Nimelala hapo mara kadhaa.Ni kweli hapo Clouds Motel patakufaa. Ni jirani tu na yale mataa ya njia ya kwenda Jet/Lumo. Kifupi imepakana na eneo la terminal 3.
Pale hawajapunguza bei. Ni kwamba kulikuwa na vyumba vya elfu 50 na 70 tu na sasa mkono wa kulia wameongeza vyumba vingine vya elfu 30 ndivyo walivyowekea bango lao pale nje. Ila hivyo vyumba vya elfu 30 ukiamka asubuhi utabaki kula breakfast kwa macho hadi uilipie. Hivyo vya bei ya juu utapewa breakfast.Wamepunguza ni elfu 30 wameweka bango njiani
Ukishapa lodge unambie nikupe mtoto mzurii wa kusindikizia safar yako buree kabisaaAhsante mkuu. Hiyo iko nje ya my budget range.
Hiyo SAA 8 usiku lazima akodi taxi pale lazima wamkwangue 10,000/= lodge 50,000/= hapo bado kula na milupoNi kweli hapo Clouds Motel patakufaa. Ni jirani tu na yale mataa ya njia ya kwenda Jet/Lumo. Kifupi imepakana na eneo la terminal 3.
We chibu tax gani elfu kumi,taxi zinaanzia elfu 20 na kuendeleaHiyo SAA 8 usiku lazima akodi taxi pale lazima wamkwangue 10,000/= lodge 50,000/= hapo bado kula na milupo
Kutoka pale Clouds motel mpaka JNIA ni elfu 10 mkuu!We chibu tax gani elfu kumi,taxi zinaanzia elfu 20 na kuendelea
Rahisi nayo Ni ghali sana.Ahsante mkuu. Hiyo iko nje ya my budget range.
utapata za 4000 zipo nyingi mnoHabari wakuu.
Naomba kufahamishwa majina na maelekezo ya lodge nzuri ya gharama ya wastani maeneo ya karibu na Airport ya Dar. Nitakua na safari ya usiku wa manane hivi karibuni na nafikiria kulala lodge ambayo haiko umbali mrefu sana kutokea Airport.
Gharama iwe kati ya20,000-30,000 per night.
Natanguliza shukrani.
Mfano anaishi mikoa jirani Eg Morogoro au Tanga na Hana relative Dsm?Sasa kama safari ni saa 8 ucku unatafuta logi ukalale nini?
Kama unatoka mbali na dar kwanin usitoke huko saa 6 ucku pale airport ukasubiri hiyo saa 8?
Yeah huwa napita sana maeneo yale naona imetulia sana ukipita kwa nje km unaelekea darajani /Segerea.FQ Hotel. Ila nadhani rates zao zinacheza kwenye fifty!