Lock or hide private folder in windows without software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lock or hide private folder in windows without software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Oct 8, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Oct 8, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Many times you face this situation; you want to hide some personal data from the other person using your computer. However most of the person uses any software for that which can be troublesome sometime. So here is the trick to lock any folder in windows without any software.

  Suppose you want to lock the folder “hitman” in C: drive.

  The path for the folder is C:\games\hitman.

  Go to C:\games the create a text file and type command
  ren hitman hitman.{21EC2020-3AEA-1069-A2DD-08002B30309D}
  Now save this text file as hide.bat

  Create another text file and type in it
  ren hitman.{21EC2020-3AEA-1069-A2DD-08002B30309D} hitman
  Now save this text file as show.bat

  Now you can see 2 batch files “hide” and “show”.

  Press “hide” and the folder hitman will change to control panel and you cannot view its contents. Press “show” and you will get back your original folder.
  You can move this folder to anywhere on your drives. But make sure you click on “hide” or “show” file when it is placed in C:\games; else it wont work. Always remember the folder is to be locked and "show" and "hide" files should be in same folder at the time of using them, after use you can move it.


  Note: To rename your text files as bat files?
  Just go to my computer->tools->folder options->go to the view tab.
  Now uncheck the 'Hide extensions for known file types' then click apply.
  Now rename your text files as bat files.
   
 2. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asante Mkuu.
  Stay blessed.
   
 3. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asanye sana SHY kwa msaada wako zaidi na maelekezo yako
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Oct 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  ahsante nawe pia kwa kunisoma usisite kuuliza au kuongeza pale panapohitajika

  Usiku mwem a
   
 5. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa SHY sijui kama unaweza kunisaidia kidogo tatizo langu....Problem yangu ni kwamba nina hii pc yangu sasa sijui ina vitu vingi au vipi lakini haina vitu vingi vya kusema iweze kutembea pole pole yaani I mean kila nikiifungua au ni switch on ikishafunguka sasa niki click kwenye internet ili niifungue internet naona inachukua kama dakika 5 ndio inafunguka yaani inakuwa kama inaganda hivi sasa tatizo lipo wapi???Au wapi naweza kucheck nikaweza kusolve hili tatizo maana nataka nikiifunga tu nikiclick internet iweze kufunguka hapo hapo sio ichukue tena muda mwingi ndio ije kufunguka
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Oct 11, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  je umejaribu kuscan kama kuna spyware na virus ? kama uwa unaitumia katika internet kwanza fanya hivyo scan utoe spyware na virus kisha fanya system restore mpaka tarehe ambayo uliitumia vizuri
   
 7. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ok asante sana mkuu SHY nashukuru nitajaribu kufanya hivyo asante sana mkuu......
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Oct 11, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Poa mkuu karibu tena tutaendelea kufundishana
   
 9. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuuu asante sana kwa msaada wako kwa kweli maana nimefaidika na mengi sana kutoka hapa kwenye IT....Kwa kweli nimeona nisianzishe thread nyingine maana naona kama itakuwa inazingua bora niendelee tu hapa hapa nilikuwa natatizo nimelipata toka juzi lakini nilikuwa sijui imekuwaje maana sasa hivi sipati sound yoyote kutoka kwenye computer nikajua tatizo ni speaker lakini nikazichukua speaker nikazijaribu kwenye laptop zikawa zinatoa sauti so nikasema tatizo sio speaker nimejaribu kucheck pc yangu sijapata solution mpaka sasa so unaweza kuniambia nifanye nini ili niweze kupata sound???
   
Loading...