Location yangu siku ya leo

Location yangu siku ya leo

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Lodge flani hivi karibu kabisa na Meriwa Hotel, kama unatoka mjini unaelekea kisasa unaipita Senetor Lodge hapo katikati kuna ka Lodge flani hivi tulivu ndio nitakuwa hapo leo,
Nimeshaweka booking na sasa ndio Namfata mtoto Maeneo ya kwao niko kwenye Bajaji(Sina gari wala hela ya Tax),

Soon nitawasili Maeneo yangu ya kujidai nimeshaagiza kitimoto na ndizi za kukaanga zimeshakuwa tayari ni za kuzipitia tu pale karibu na Malaika Pub na kuelekea maeneo,
Huyu demu nimeemuuliza kinywaji Nimeshamchukulia savana zake 4 tu, mimi Niko na Energy drink na maji inatosha,

Kitakachofuata ni Uchakataji mpaka Asubuhi.

Wapi Jijini DODOMA.

Je? Wewe location yako itakuwa wapi Siku ya leo katika mkesha wa kusubiri kusherehekea Happy birthday ya Yesu.

Cc Zero iq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandalizi yote hayo unamuandalia mwali au tayari breki ni mapaja yako
 
Energy drink nasikia siyo za kunywa usiku,,,utafia kifuani ukila papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanzia Shoppers plaza ,kisha Jackie's masaki ,baadae Juliana mbezi kula kitimoto ,

Tutafutaneni

MTC | 101|
 
Mdogo wangu huchoki papuchi? Wakati yesu anazaliwa na wewe unataka kutungisha mtoto mwingine?
 
Back
Top Bottom