GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
Watu wengi wamekuwa wakisikiliza Radio Maria Sauti ya Kikristo Nyumbani Mwako, kwa wakazi wa jijini Dar na hata mikoani wamekuwa hawajui Radio hii wanatangaza matangazo yake kutoka wapi. Kwa sasa Radio Maria inapatikana Dar kwa frequency 103.5Mhz. Pia Radio hii husikika katika mikoa ya Mbeya, Iringa, Songea, Mpanda, Singida Mwanza, Arusha, Manyara, Moshi Morogoro, Mtwara, Zanzibar, Pemba Pwani na Dar yenyewe.
Ukitaka kufika Studio za Dar CLICK HERE
Ukitaka kufika Studio za Dar CLICK HERE