Lobati mjomba-mbeya

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,456
1465835500410.jpg
 
hahahaha Lobati katisha kwakweli... na hiyo kolamu ya husiku Lobati asingeiweka kabisa ili kusevu kalatasi kwa ajili ya latiba ya mwezi wa jurai...
 
Lobati anasevu sabuni
Anaoga J3 mchana kwasababu jua linawaka, na Ijumaa kadhalka.
J2 asubuhi kwakua anakwenda kanisani.
 
kuoga mala tatu kwa wiki?
Sijui ana umri gani, planning ni msingi wa vitu vingi. Sijaangalia kuoga mara tatu kwa wiki. Inawezekana baridi ya Mbeya inachangia. Nimependa jinsi anavyoanza kuweka maisha yake kwenye plan.
 
Noted...!
 
Kinacho nishangaza hapa mby jua linaweza kuwa kali lakini ukiingia bafuni maji yake si mchezo
 
3/7?

Yaelekea hiyo ni aina ya tiba mbadala kwa Lobati Mjomba wa Mbeya....
mshana jr kama unajua chochote kuhusu wewe kutuwekea huu uzi na naona baada ya watu kukoment umeongea kitu hebu tueleze.
1.Umeweka huu uzi kwa ajili gani na unatufundisha nini hasa..
2.Kuhusu hiyo hesabu uliyoweka hapo unasema yaelekea kuwa aina ya tiba ..tiba gani na ni kwa nini
Mwisho mi najua kila thred yako ina funzo ukiachilia mbali na na elimu ahera
 
Kweli mkuu. Kuoga kwa wiki mara tatu. Hiyo ni tiba mbadala au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom