Loan Request

Status
Not open for further replies.
Naishi nayo hivo hivo kwa tabu :D
Kila laheri kaka/dada Mungu akufanyie wepesi
Kejeli na roho ya husda haitakusaidia katika maisha jifunze kuelewa mambo na sio kudakia kwa lengo gani na unafaidika na nini?
Nashukuru na pia na wewe Mungu akufanyie wepesi katika kuangalia mambo katika mtazamo chanya na sio mtazamo hasi kama ulionao ambao unautumia kama fimbo. Shukran.
 
Baba yeyoo umenifanya nicheke me nitakufwa na shida zangu

Nikajua umekidhi vigezo.....sijui uwe na mnyama gani? Mh nikaona siwezi kupita kimyakimya nimuonye Mama Yeyoo. Afadhali kama umeshtuka mapema rafiki
 
Kejeli na roho ya husda haitakusaidia katika maisha jifunze kuelewa mambo na sio kudakia kwa lengo gani na unafaidika na nini?
Nashukuru na pia na wewe Mungu akufanyie wepesi katika kuangalia mambo katika mtazamo chanya na sio mtazamo hasi kama ulionao ambao unautumia kama fimbo. Shukran.
Tanguliza vigezo vya kukopesheka usitangulize huruma, ingekua hivi tungekua tunaingia mabenki kwa machozi na kugalagala chini!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom