Loan Request

Status
Not open for further replies.
We acha kujitia huruma isio na tija bana, hivi hata kama ni wewe mtu humjui hata kwa sura anaomba umkope kirahisi tu hivi utampa? Usawa wenyewe huu?
Kuna watu wana hizo kazi za kukopesha atleast details zako na dhamana uliyonayo ili upate mkopo ila sio kihivi
Maelezo yapo private message, sioni haja ya kuweka hapa, kama kwel mtu ana nia na anafanya hizo business za kukopesha watu atakuja PM au akisema nimfate PM ntaenda kwa ajili ya mazungumzo.. nimeshaona hata wengine wanaweka maelezo yao yote na mtu ana shida kweli lakini ni kuishia kukejeliwa tu kana kwamba wew unayemkejeli hauna shida.
na wala sijasema ni rahisi kama mtu ana nia ya kunisaidia kwa kunikopesha atakuja PM na ntamwambia kila analotaka kujua ,
 
Na wala sijitii huruma na sijaja kutafuta sympathy naongea facts
 
Maelezo yapo private message, sioni haja ya kuweka hapa, kama kwel mtu ana nia na anafanya hizo business za kukopesha watu atakuja PM au akisema nimfate PM ntaenda kwa ajili ya mazungumzo.. nimeshaona hata wengine wanaweka maelezo yao yote na mtu ana shida kweli lakini ni kuishia kukejeliwa tu kana kwamba wew unayemkejeli hauna shida.
na wala sijasema ni rahisi kama mtu ana nia ya kunisaidia kwa kunikopesha atakuja PM na ntamwambia kila analotaka kujua ,
Okay mwenye shida ya kukukopesha atakuja pm, all the best....
 
Rekebisha kauli ..sio shida ya kunikopesha, sentesi inayoeleweka ni mwenye nia ya kunikopesha atakuja PM au akitaka nije PM nitamfuata.
Asante sana.
 
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi cha laki 3 nina shida ya dharura naomba anisaidie. Napatikana arusha.
Asante
dhamana
 
Msaada: Natafuta kazi
Huku umesema wewe ni kijana hujaoa, hapa unasema wewe ni mwanamke, Dah sorry lakini....
Yeye si ameona ni mwanamke na anataka chura basi kumridhisha nimempa alichotaka kusikia.
Wewe wala sikushangai nia yako yote ilikua ni kunikejeli kwa sababu ya shida yangu asante sana wewe usie na shida.
 
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi cha laki 3 nina shida ya dharura naomba anisaidie. Napatikana arusha.
Asante
mkopo omba kwa Kiswahili kwani wenye hela wengi lugha haipandi.LOAN REQUEST MKUU!
 
We bana unazingua, na hapa ulikua unamridhisha nani? View attachment 620922 View attachment 620922
Kitu kidogo hivi jinsia tu unadanganya, halafu wataka uaminike kwenye mshiko, haya bana
Yeye si ameona ni mwanamke na anataka chura basi kumridhisha nimempa alichotaka kusikia.
Wewe wala sikushangai nia yako yote ilikua ni kunikejeli kwa sababu ya shida yangu asante sana wewe usie na shida.
 
Yeye si ameona ni mwanamke na anataka chura basi kumridhisha nimempa alichotaka kusikia.
Wewe wala sikushangai nia yako yote ilikua ni kunikejeli kwa sababu ya shida yangu asante sana wewe usie na shida.
We sio mkweli
 
We sio mkweli
Yeye si ameona ni mwanamke na anataka chura basi kumridhisha nimempa alichotaka kusikia..kipi ambacho huelewi hapo, kwaio ina mana ukiwa mwanamke mwenye makalio makubwa ndio unapata mkopo
Wewe wala sikushangai nia yako yote ilikua ni kunikejeli kwa sababu ya shida yangu asante sana wewe usie na shida na naona unafanya jitihada kubwa sana nisisaidiwe hadi umeenda kuangalia profile yangu kwa ajili comment tu nakupa pole hio.roho yako sio ya mchezo dah..unaishije na roho hio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom