LLB -UDSM (4 yrs) vs LLB - OUT, MU, Tumaini (3 yrs)????

LLB -UDSM (4 yrs) vs LLB - OUT, MU, Tumaini (3 yrs)????

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,513
Reaction score
40,354
Ajabu LA 9 la Dunia. Degree programme moja (LLB), nchi moja, wote wanakutana Law school moja ila baadhi LLB ni miaka 4 (UDSM) vyuo vikuu vingine 3 years? Msaada hapa Ili tuweze kwenda sawa
 
It depends and curriculum ya chuo husika. Kampla university Dare es slaam campus wanatoa kozi ya MD 6 years, pharmacy 5 years na medical lab 4 years. Kila chou na utaratibu wake. Chuo kinaweza kua na foundation course nyingi tofauti na vyuo vingine
 
Ajabu LA 9 la Dunia. Degree programme moja (LLB), nchi moja, wote wanakutana Law school moja ila baadhi LLB ni miaka 4 (UDSM) vyuo vikuu vingine 3 years? Msaada hapa Ili tuweze kwenda sawa
Kazi mnayo na mafani yenu yasyo na dira
 
Mtaala ndio unaoamua. Kuna masters zinasomwa miaka 2.5 sababu ya jinsi module zilivyogawanywa. Wengine wanabeba course 6 kwa semester wengine wanabeba course 3 kwa semester, kwanini msisome muda ndefu.
 
LLB UDSMmiaka ya nyuma nadhani kabla ya mwaka 1996 au1997 sikumbuki vizuri ilikua ni miaka 3 hata ukiangalia kipindi alichosoma Tundu Lissu na Samwel Sitta, etc wao ilikua ni miaka 3, kwa kipindi hicho hakukua na Law school bali kulikua na bar exams hivyo wakaongeza mwaka mmoja na kufanya jumla iwe miaka 4 kwa kipindi kile huo mwaka mmoja ulikua unafidia kumfanya mwanafunzi aweze kujiandaa vizuri na hio mitihani ya bar exams lakini licha ya kuanzishwa Law school imeendelea kubaki miaka hio hio 4 na hata ukiangalia mwaka wa mwisho kunakua na vipindi vya free vingi sana, ila yote kwa yotw ukisoma hio degree ya miaka minne inasaidia sana hasa kama unalenga kua wa kimataifa mfano kuomba kazi za kisheria za UN wao hutambua sana na pia wanaiheshimu sana kozi ya miaka 4, yani unaweza pewa advantage ta experience kama umesoma kozi ya miaka 4, huko duniani wengi wao wanasoma sheria miaka 4 mfano wa shirika lingine linaitwa RSC Africa wao kama umesoma kozi ya miaka 4 unapewa advantage kuliko waliosoma kozi ya miaka 3, hata ukisema uangalie Kenya wao kozi yao ya LLB ni miaka 4, Uganda sijafatilia, South Africa baadhi ya vyuo LLB ni miaka 4 na vingine ni miaka 3, vivyo hivyo zimbabwe maelezo mengine ni uzoefu wangu katika kutafuta kazi ila yale ya kufidia mwaka mmoja kabla ya bar exams tulipewa darasani kipindi hicho binafsi sijawahi kujutia kusoma hio kozi kwa miaka 4..ingawa sijafika mbali kimaisha ila nilipo si haba...
 
Back
Top Bottom