joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Umeandika kwa hasira ndo alikuwa kipanga wenu nini? Siwezi meza upuuzi ka huu kwa taarifa yako mi siwezi kusoma kozi za kina mama nimemuachia mama yeyooooo.Kaka kusoma miaka mi3 au mi4 cyo determinant ya kuwa mkali LL.B instead ni mtaala tu wa chuo husika wanavyoupanga, wewe ungekua msomi ucngekurupuka kuandika mashudu kama haya, kwa taarifa tu ni kwamba ili degree itimie na kuna idadi ya units kadhaa kama ckosei ni 360 ambazo zinapatkana ktk masomo principal na electives ambayo mwanafunzi anasoma chuoni (kwa kozi nzima ya LL.B in Common Law countries principal subjects ni 36 na kila somo lina units 10 kwahiyo 36 ¤ 10 = 360 units ambazo ndio znakamilisha Degree, ila ukikuta chuo kinaamua kuongeza masomo pia haijakatazwa ila 36 ndio Lazima)
Mzumbe for example wao ni miaka 3 na kwa semester wanasoma masomo 6 so mara semester 6 ni masomo 36 tayari, Udsm na SAUT on the contrary wanasoma less than 6 subjects kwa semester sasa mathematically tu unahic watamaliza masomo yote 36 ndani ya miaka 3!!? Ndio maana wanaongezea mwaka wa 4 lakini haimaanishi kwamba eti huo extra year ndio wanapewa nondo za kuwatofautisha na vyuo vingine hamna kitu inshort hamna ulichosoma ww mtu wa miaka 4 ambacho mwenzio aliesoma miaka 3 hajakisoma!, acha nonsense uwe mdadisi cku nyingine na for the record kwa taarifa yako hvyo vyuo unavyovijua wewe kwamba ndio top duniani kama Harvard, Cambridge, Oxford, Princeton na Duke University na vingine kibao hapahapa Africa esp vya South Africa na Kenya LL.B ni miaka 3, jitahid kumeza hivyohivyo hata kama ya uchungu!
Umeandika kwa hasira ndo alikuwa kipanga wenu nini? Siwezi meza upuuzi ka huu kwa taarifa yako mi siwezi kusoma kozi za kina mama nimemuachia mama yeyooooo.
Umeandika kwa hasira ndo alikuwa kipanga wenu nini? Siwezi meza upuuzi ka huu kwa taarifa yako mi siwezi kusoma kozi za kina mama nimemuachia mama yeyooooo.
Kaka kusoma miaka mi3 au mi4 cyo determinant ya kuwa mkali LL.B instead ni mtaala tu wa chuo husika wanavyoupanga, wewe ungekua msomi ucngekurupuka kuandika mashudu kama haya, kwa taarifa tu ni kwamba ili degree itimie na kuna idadi ya units kadhaa kama ckosei ni 360 ambazo zinapatkana ktk masomo principal na electives ambayo mwanafunzi anasoma chuoni (kwa kozi nzima ya LL.B in Common Law countries principal subjects ni 36 na kila somo lina units 10 kwahiyo 36 ¤ 10 = 360 units ambazo ndio znakamilisha Degree, ila ukikuta chuo kinaamua kuongeza masomo pia haijakatazwa ila 36 ndio Lazima)
Mzumbe for example wao ni miaka 3 na kwa semester wanasoma masomo 6 so mara semester 6 ni masomo 36 tayari, Udsm na SAUT on the contrary wanasoma less than 6 subjects kwa semester sasa mathematically tu unahic watamaliza masomo yote 36 ndani ya miaka 3!!? Ndio maana wanaongezea mwaka wa 4 lakini haimaanishi kwamba eti huo extra year ndio wanapewa nondo za kuwatofautisha na vyuo vingine hamna kitu inshort hamna ulichosoma ww mtu wa miaka 4 ambacho mwenzio aliesoma miaka 3 hajakisoma!, acha nonsense uwe mdadisi cku nyingine na for the record kwa taarifa yako hvyo vyuo unavyovijua wewe kwamba ndio top duniani kama Harvard, Cambridge, Oxford, Princeton na Duke University na vingine kibao hapahapa Africa esp vya South Africa na Kenya LL.B ni miaka 3, jitahid kumeza hivyohivyo hata kama ya uchungu!
Very talented 1st class wakati mnasoma miaka 3? Rudi shule kamalizie wenzako wanapiga 5 wewe kilaza. Anyway ndo shida ya vyuo vya kata wakina Mulugo kibao?
ELABORATIONs:
Core courses ni sawa eitha 4 o 3yrz! Ila wa 4 yrz wana advantage,kwa upande wa ELECTIVES nyingi,mfano: soco security law,Int.humantarian law,law of th sea,law of the chld,int.criminal law..so wa 4 yrz anakua mpana sana ,awa 3yrz wanakaza sana..wanasoma v2 vya muhimu zaid,ila optns co sana! Ao wa miaka 5..wanakua wanapga ad clinicals,mutkots etc..ts mo advntgs to em..
That y Law xul of Tanzania wameeka 16 core course kila mwanafunz wa sheria awe ameshasoma ndo wapate admissn,na izo courses ni common vyuo vyote!
Source:
Mimi mwenyewe,graduand wa udsm..and thoz 4 yearz ar so worthy..compared to 3 yearz..Dunia imekua,field za law zmeongezeka..we nid to learn by goin extra mile,kugusa maeneo mengne kama Capital markets and securty law..ipo udsm peke ake! Viva Mlimani
natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice
natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice
hata Ngeleja, william ni 1st class LLB UDSM
Wale wa miaka mitatu wanatumia SEMESTER SYSTEM katika kufanya mitihani na Wale wa miaka minne wanatumia ANNUAL SYSTEM. Katika ANNUAL SYSTEM mwanafunzi huchukua masomo tisa ambayo anafanyia mtihani mwsho wa mwaka. Wakati SEMESTER SYSTEM mwanafunz huchukua masomo 6 na hufanyia mtihani kila mwsho wa semester. Hvyo kwa mwanafunz wa miaka minne anahitaji miaka 4 ili kumaliza course 36(9 x 4) wakati wa miaka mitatu atafanya course 36 kwa miaka mitatu (6x2x3)ambayo ni kozi 36.
Nani kakudanganya kuwa Ngeleja ni holder wa LL.B 1st Class?
Nchi yetu ni masikini na inanuka rushwa, viongozi wengi wamesoma UDSM. Kwa hiyo kwa maana nyingine UDSM imeshindwa kabisa kutoa wahitimu wanaoweza kutatua matatizo ya nchi hii na imezalisha viongozi wengi wala rushwa, wavivu kufikiri n.k.
hao wenye vyuo vya private wanahongaWanafanyiwa hila na nani? Unafahamu asilimia kubwa ya walimu wa law school wanatoka chuo gani?