Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,385
- 8,280
Buku saba zake hajapewa miezi sita sasa.Katia mpira kwapani baada ya kuona amna nafasi ya kuteuliwa kuwa kiongozi
Ndugu Lizaboni popote ulipo tafadhali njoo huku JF. Tumezimisi jumbe zako na michamgo mbalimbali uliyokuwa unaitoa- hasa jukwaa la Siasa. Nakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, jinsi ulivyokuwa unamwaga nondo za ukweli. Je, uko wapi ndugu yetu au umebadilisha ID?








LizaboniNdugu Lizaboni popote ulipo tafadhali njoo huku JF. Tumezimisi jumbe zako na michamgo mbalimbali uliyokuwa unaitoa- hasa jukwaa la Siasa. Nakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, jinsi ulivyokuwa unamwaga nondo za ukweli. Je, uko wapi ndugu yetu au umebadilisha ID?