Swali TATANdugu Lizaboni popote ulipo tafadhali njoo huku JF. Tumezimisi jumbe zako na michamgo mbalimbali uliyokuwa unaitoa- hasa jukwaa la Siasa. Nakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, jinsi ulivyokuwa unamwaga nondo za ukweli. Je, uko wapi ndugu yetu au umebadilisha ID?
Sio mbili zaidi ya mbiliHuyu jamaa ana ID mbili.
Yawezekana unalako jamboNdugu Lizaboni popote ulipo tafadhali njoo huku JF. Tumezimisi jumbe zako na michamgo mbalimbali uliyokuwa unaitoa- hasa jukwaa la Siasa. Nakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, jinsi ulivyokuwa unamwaga nondo za ukweli. Je, uko wapi ndugu yetu au umebadilisha ID?
Huyo jamaa anajifanya anabit mda wote kutisha watuMleta uzi unamfahamu magonjwa mtambuka?

Haaahaaaa dahKatia mpira kwapani baada ya kuona amna nafasi ya kuteuliwa kuwa kiongozi
Magonjwa mtambuka? Sifahamu kwa kweli. Naomba hiyo elimu.Mleta uzi unamfahamu magonjwa mtambuka?
Pole sana ndugu. Vumilia. Huu ugumu ni wa muda mfupi. Baadaye mambo yatakuwa mazuri. KUMBUKA KUWA MVUMILIVU HULA MBIVU.Sasa hivi hali ngumu jamani acheni utani.. mimi nina gunia kama 100 za mbaazi na dengu gumia 60 hapa Kondoa wateja wetu walikuwa wahindi sasa hivi hawanunui tena wanasema biashara hailipi na serikali iliyopo madarakani sio rafiki wa wafanyabiashara hivyo wamefunga biashara..Soko la ndani kama halipo sijui tutaishije hivi kilimo chenyewe cha mkopo
Kusema kwel faiza foxy kapotea hatariiiiSimiyu yetu.