Typical
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 711
- 671
Bado unazo mpaka sasa hiviSasa hivi hali ngumu jamani acheni utani.. mimi nina gunia kama 100 za mbaazi na dengu gumia 60 hapa Kondoa wateja wetu walikuwa wahindi sasa hivi hawanunui tena wanasema biashara hailipi na serikali iliyopo madarakani sio rafiki wa wafanyabiashara hivyo wamefunga biashara..Soko la ndani kama halipo sijui tutaishije hivi kilimo chenyewe cha mkopo