Liyumba atatoka keko kweli?!

Nataka kujua maana ya RED CAR, VK, WANAWAKE NA MAENDELEO. hapa ni vyema tukawa wazi kuliko kufumba fumba kama mademu????!

Hivi unafuatilia michango ya watu kabla huja post comments zako hapa?? maswali yote yana majibu hapo juu..and kusema tunakuwa kama mademu maana yake nini?jifunze kuheshimu utu wa wenzio
 
Nataka kujua maana ya RED CAR, VK, WANAWAKE NA MAENDELEO. hapa ni vyema tukawa wazi kuliko kufumba fumba kama mademu????!

Una uhakika gani kama waliochangia ni mademu ama sio,au JF mademu hawaruhusiwi. Inaonesha umeathirika na kufungwa kwa ze utamu make inaonesha ndo kwanza una mwezi mmoja toka umejiunga, hata kutambaa bado unaanza kuleta maneno ya kashfa!
 
Hivi unafuatilia michango ya watu kabla huja post comments zako hapa?? maswali yote yana majibu hapo juu..and kusema tunakuwa kama mademu maana yake nini?jifunze kuheshimu utu wa wenzio

Msamehe bado ni mchanga hapa jamvini!
 
Nasikia jamaa atakula mvua ndefu....sana hata yeye hataamini....stay tuned....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom