Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,987
husda tumetohoa tayariEnvy kwa kiswahili,bado kutoholewa.
husda tumetohoa tayariEnvy kwa kiswahili,bado kutoholewa.
Nani sasa huyo kama sio joketi
watu wana masihara sana na bendera yetukupiga tu hiyo picha ndio kapeperusha bendera.
Nashangaa wtz walivyo washamba baadhi kwa kuwaogopa hawa....2003 niliwahi shika tako lake Beyonce kwa kulifinya alishtuka nikiwa Le Bain club NewyorkJaman Tz hatuishi ushamba..kwan who's carter who is Beyonce? Just human being kama waliopo kijijin tuu they poo lyk other they will die lyk others..so izo no mbwe mbwe tuu hats wew unaweza rock the world..nakujiona super star zaid yao..as long as u have strong faith to ya God
Hee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...
mkuu sio DH hiyo....hiyo ni All-star CONVERSE inacost karibu Tsh 80000Hee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...
Uso umeshuka kama maandazi ya manzese ....*****dah ila mtoto kamfanana sana jiga..cheki ule uso ulivyoshuka