Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

Hee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...
Hata ukivaaa utaonekna ni shida tu maana hakuna anayekufaham zaid ya watu watajua umeanza kudata tu
 
Hapo inaonekana jokate kaenda kuchukua order ya chakula(kinywaji au chips) au ni mpiga picha(au tv) anagalia uniform waliyovaa ni ya NBA TV. istoshe beyonce hana time na mtu na ukiangalia bodyguard anamfata jokate kumtoa. Haha
 
Yaani hela zote hizo Jigga anashindwa kumnunulia mkewe nguo mpya mpaka avae matambara hivyo?
 
Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!


Yaani ulitaka akabidhiwe bendera ya taifa na waziri kisa anakwenda kumsalimia Jay Z? Pumba hizi
 
Jokate alisema aliomba kupiga picha nao wakakataa Ila kuna MTU aliwapiga,,that's y unaona ktk picha Beyonce wala hana habari,na alikwenda marekan Sababu atakua mtangazaji wakat timu za NBA zitkuja south Africa baadae mweka huu,so alipelekwa kupata uzoefu kidgo,,,mnapoanza kubisha sio jokate mnachekesha walionuna maana ukimsikia wakat anahojiwa na Millard ayo utajua alimaanisha nn
 
Yaani hela zote hizo Jigga anashindwa kumnunulia mkewe nguo mpya mpaka avae matambara hivyo?
Beyonce alishamnunulia Jigga flight achana na nguo,mpenzi wako ananoga zaidi akiwa bila nguo kuliko akiwa na nguo
 
Habari wadau...
Hii awamu ya kuisoma namba ni kweli namba tunaisoma wote au watumishi tu..Mfanyabiashara maarufu wa nywele za kidoti amejipa outing kidogo ya kwenda kuchek NBA all star game...

Ambapo alipata favour ya NBA africa kumsogeza na kusalimiana na Jay z na beyonce
Iyo nguo beyonce alipokua anaivaa sijui ilikuaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom