Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

Jaman Tz hatuishi ushamba..kwan who's carter who is Beyonce? Just human being kama waliopo kijijin tuu they poo lyk other they will die lyk others..so izo no mbwe mbwe tuu hats wew unaweza rock the world..nakujiona super star zaid yao..as long as u have strong faith to ya God
 
Nashangaa wtz walivyo washamba baadhi kwa kuwaogopa hawa....2003 niliwahi shika tako lake Beyonce kwa kulifinya alishtuka nikiwa Le Bain club Newyork
 
e8f05dbc219d00e30e699c330a28939a.jpg
 
Check hapo jiga alivonyoa fresh kabisa....ila sisi huku kwetu madale mpaka tusokote vitunguu na viduku¡!!! Hata mwanae ukimuangalia anapendeza ila wa uku kwetu madale hadi tumsuke rasta za elfu 80!!!
 
Hee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...

DHL ??? Unajua kweli bei ya Chucks, America na Europe zinauzwaje?wajanja nilivyotaja tuu Chucks wameelewa . Chuck Taylor ndio mvumbuzi wa hivyo viatu au kwa jina lingine ni Converse . All Star kifupi ni viatu ambavyo sidhani kama kuna familia ambayo aijawahi kuwa na ndugu ambaye akuwahi kuvaa hivyo viatu . Kwa nchi za Ulaya na America , kwa Africa vina umaarufu sana South Africa..,
 
Hee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...
mkuu sio DH hiyo....hiyo ni All-star CONVERSE inacost karibu Tsh 80000
 
Kwanza mtoa mada joket hajajipa outing bari alipewa na NBA Afrika lkn hilo la ndoto kama alishawahi kusema hapo sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom