Liverpool vs Napoli

Liverpool alifungwa na Napoli Italia 2 - 1, lakini Liverpool kashinda England 1 - 0, ina maana head to head ni 2 - 2, ila Liver amepata goli la ugenini kule Italy na napoli hawakupata goli England, ndio maana liver kapita na kumuachia manyoya napoli, Hali wamefanana kila kitu.
Liverpool alifungwa 0-1italy
 
Magoli ya kufunga TE="msondomba, post: 29578139, member: 309540"]kwa iyo kavuka kwa sheria ya herufi au L inatangulia alaf inafuata N ? sijaelewa maana goal difference wako sawa[/QUOTE]
agoli
 
Magoli ya kufunga TE="msondomba, post: 29578139, member: 309540"]kwa iyo kavuka kwa sheria ya herufi au L inatangulia alaf inafuata N ? sijaelewa maana goal difference wako sawa

Sheria iliyotumika kwa Napol ndio hiyo hiyo iliyotumika kwa Tottenhan na Intermilan. Sidhani kama ni sheria ya Herufi kwasababu Tottenham kashinda goli 1-0 Uingereza dhidi ya Intermilan. Na Intermilan naye alishinda mechi ya awali goli 1-0 akiwa Italy dhidi ya hao hao Tottenham kwahiyo kwenye Head 2 Head wanalingana, point wanalingana, na goal difference pia wanalingana lakini intermilan wameshindwa kufuzu hatua 16 bora. Ingelikuwa imetumika sheria ya Herufi basi ingefuzu Intermilan badala ya Tottenham.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom