Dah unasikitisha sana mkuu, ila uliangalia mpira au unabwata tu hapa!?Markovic alikuepo? Lambert je? Lallana nae hakuepo ama? Imekuaje wamepigwa? Au ndio benz limeuzwa vitz zinakunywa sanaa mafuta!
Dah unasikitisha sana mkuu, ila uliangalia mpira au unabwata tu hapa!?
Markovic alikuepo? Lambert je? Lallana nae hakuepo ama? Imekuaje wamepigwa? Au ndio benz limeuzwa vitz zinakunywa sanaa mafuta!
sometimes it makes a lot of sense using vits instead of benz.....
Ni haki yako ya msingi kusema kile unachofikiri but kwa suala la liverpool ngoja league ianze then tutoe comment kwan kafungwa liv pekee?nijuze matokeo ya man c?plz
sometimes it makes a lot of sense using vits instead of benz.....
hizi ndio tunaita michepuko ya upeo na uelewa... hujui hata unataka kusema niniMarkovic alikuepo? Lambert je? Lallana nae hakuepo ama? Imekuaje wamepigwa? Au ndio benz limeuzwa vitz zinakunywa sanaa mafuta!
:cool2::cool2::cool2:Liverfools ......... "you will never shit alone"
Team Diego Costa