Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Mechi ya leo ni moja ya ushahidi kwa nini Liverpool, inashindwa kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu ya England kwa miaka 18 sasa: Wanaangalia zaidi kushinda mechi moja moja dhidi ya vigogo ili kufurahisha fans wao kuliko kuwa na mikakati makini na mahesabu kuchukuwa ubingwa. Kwa mfano Msimu huu Man wamefungwa na timu vigogo tu, yaani Arsenal na Liverpool, lakini siyo zile vibonde ambazo ndizo za kujichotea pointi.
Liverpool imefungwa na timu vibonde tu msimu huu -- M'Borough na Spurs na kutoka sare na timu nyingine 10, nyingi zikiwa vibonde. Kuchukuwa ubingwa siyo kuifunga Man au Chelsea tu (ingawa ina raha yake hasa kwa fans). Kuchukuwa ubingwa ni namna ya kuweka mikakati ya vipi kujilimbikizia pointi katika mechi 38.
Kila msimu kuna mashindano manne yaani PL, CL, FA Cup na carling Cup, lakini inavyoelekea hawajui priorities zao na in the end hutoka kapa kila baada ya msimu. Bila shaka mashindano kama vile FA Cup na Carling yanawachanganya. Hapo ndipo Mzee Fergie huonyesha umahiri wake.
Leo Liverpool wamepata ushindi mnono dhidi ya Man, tena kwao na wataushangilia sana ushindi huo huku wanajua kuwa Man watacheka mwisho kwani sasa hivi kilichobakia ni kila timu kuiombea nyingine ifungwe katika mechi zilizobakia -- kitu ambacho ni mtihani zaidi kwa Liveropool kuliko Man. Kwa mfano Man wanaweza kuafford kufungwa hata mechi mbili kati ya zilizobakia (nafikiria Man City na Arsenal) na bado wakaibuka mabingwa.
Ni dhahiri Huijui Histori Ya Liverpool Wewe Unajuwa Livepool baada ya Miak Mingapi Kupita Ndio Wanapata Ushindi Old Traford au Mara Ya mwisho Kulivujnja Daraja La Stanford? Utawala Wa Liverpool Katika Soka la Uingereza lilianguka Kufutia Kufungiwa Kwa Club Hiyo Na Club Zingine Za Uingereza Kufuatia Maafa Ya Hysels Na Yale Ya Nothingham Lakini Kumbuka Na Mbio Zote Mlionazo Katika kipindi Cha miongo Miwili Lakini Hujaivuka Record Ya Liverpool Na mtahangaika Saana Kufungwa Ni kufungwa Tu Hata Ulipofungwa 2-1 ilikuwa Ni Kawaida Lakini Kufungwa 4-1 Ni Aibu Tena Kwako Hatimaye Liverpool Wamefanya Walichoshindwa Wengi Kwa Kipindi Cha Miaka 10 [/B]
...acheni kumtisha dogo nyie, liverpool mmebahatisha jana kumfunga man u imekuwa keleeeeeele!... Hebu angalieni graph yenu hapa! Kama ingekuwa ni mgonjwa, hiyo "chini-juu-chini" tayari mgonjwa angeshakuwa kwenye 'vegetative state' :d
huo ndio utofauti wa manutd na liverpool may be more specific btn saf na benitez (and their fans)...
January kipindi ambacho liverpool walikuwa kileleni kwa jumla ya tofauti ya saba dhidi ya manutd kwa benitez he thought tayari one hand washalishika kombe la epl, akanza ku-pressurize bodi ya liverpool impe uhuru zaidi wa kusajili despite the fact that tangu atue liverpool, within 4 years tu amesajili 51 players na ni kati yao watatu tu, torres, mascherano na skritel wana prove consistency till to date. The rest of the players, wewe mpenzi wa liva u know what they are doing. What happen later sijui, lakini so far so gud liva ni watatu nyuma ya manutd kwa pointi nne na one game in hand.
Verbal attacks dhidi ya saf from benitez it was a wrong timing na mbaya zaidi ni kuwa yeye 'maneno maneno' hayawezi. Saf alimjibu tu short and clear; pressure itawaondoa tu pale juu na the fate proves him that he was right.
Benitez, with all respect, timu bora na kocha bora huonekana na kile anacho ki-deliver in terms of silverwares na sio kuwa run-up or kutolewa robo final. Sijui ni nini so substantial benitez ume-deliver anfield may be na europe unataka attention ya watu kihivo, cl na fa cup ulibeba kwa kikosi cha houllier, liverpool last time wanachukua epl(hata haikuwa iikiitwa hivyo) it was almost two decades ago, deliver first and start talking.
Gud to see that you guys you are counting off manutd, just wait and see....
I will be there and plz be there too....
One love one united.....
mkuu nakuaminia for your constructive criticism... But one correction, no one has written-OFF manure... And if any he/she is really wroong, because saf is more than an ordinary football team manager... He is the football leagues manager
ywna
MTM...
upo? draw ya CL umeionaje?
mpo kimya sana pande hii,.....
CHELSKI na "white witch" wao, mzee Guus Hiddink wepesi...
you will never walk alone wazee,
cheer up!