Tatizo ni coaching, you are very right
Hata strikers wetu wamekua legelege kwasbabu mazoezi yao yapo kwenye tactics kuliko nguvu, accurancy na tenacity.. ndio maana Sterling missed sitters because kwa mazoezini yale yote yangeingia tu... tumewashusha viwango defenders na kipa kusaidia tactics za attacking
BR anahitaji defence coach au aishie...
Naamini kabisa hata akina Lovren wanaweza kuwa wazuri tu wakipata kocha mwenye kufundisha defensive plans
Aiseee mi niko mitaa ya Kimara tuwasiliane tuweke mpunga mezani uone km sito mpiga Stoke! Tuweke mpunga Aisee!
Inauma sana, hata Sakho kawa mayaiJust get Cracke au Carragher to do the job...
Lakin BR hatak hicho kitu, kawajaza washikaj zake kina Marsh ambao ni upuuzi mtupu..
Hata AGGER alianza kuwa legelege chini ya BR..
Shaqiri sio striker ni winger au namba jumbo, he us a bad player, kama ni kujaza vyoo tu, basi WaPo wa kutosha
Tatizo ni coaching, you are very right
Hata strikers wetu wamekua legelege kwasbabu mazoezi yao yapo kwenye tactics kuliko nguvu, accurancy na tenacity.. ndio maana Sterling missed sitters because kwa mazoezini yale yote yangeingia tu... tumewashusha viwango defenders na kipa kusaidia tactics za attacking
BR anahitaji defence coach au aishie...
Naamini kabisa hata akina Lovren wanaweza kuwa wazuri tu wakipata kocha mwenye kufundisha defensive plans
Inauma sana, hata Sakho kawa mayai
SAKHO ndo number 1 french LCB kwenye team ya Taifa, lakin anawekwa Bench kwenye team yenye Shitiest Defenders kwenye EPL...
Bora Yule Lovren kaumia, SAKHO will get a Run now..
Sakho si ndiye aliyefanya utovu wa nidhamu kwa kuamua kwenda nyumbani bila ruhusa wakati timu inaingia uwanjani, kwa sababu tu hakukuwa na jina lake kwenye timu iliyokuwa ikienda kucheza?! Hizi ni tabia za wahuni kama Haruna Moshi, ambazo ni Phiri tu ndiye anaweza kuzivumilia.
Ova
Hakuna mchezaji ambaye hapendi kupangwa uwanjani...
Alexendar Song "billon" alikuwa analalamika kukosa game time kwenye msitu wa kina Busquet "Burgos", Mascherano, Xavi "pass master" etc...itakuwa kwa SAKHO na wajinga kibao waliojaa kwenye Back-line ya LFC kama akina Lovren na Kolo Toure????
Au kwann BORIN asiumie kuwekwa bench na ST kama Lambert???
Sakho si ndiye aliyefanya utovu wa nidhamu kwa kuamua kwenda nyumbani bila ruhusa wakati timu inaingia uwanjani, kwa sababu tu hakukuwa na jina lake kwenye timu iliyokuwa ikienda kucheza?! Hizi ni tabia za wahuni kama Haruna Moshi, ambazo ni Phiri tu ndiye anaweza kuzivumilia.
Ova
Nitakuwa Ikwiriri shambani hata game na Arsenal zitaweza iangalia lkn nitashinda kwani gari letu limeisha waka!
Humfungi Stoke kwake ningekuwa Dar ninge bet na ww maana hela ya bure hii!!
Ligi cup (nusu fainali): Liva Vs Chelsea
kwahyo ndo "BREAKING NEWS" au?????
hiyo draw imetoka tangu J5 usiku bro!!
watu hawajaiongelea humu, kwasababu haina UZITO wowote!
Hauna haja ya kutoa maneno yote hayo kama vipi tulia tu sio issue