Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,921
Can't say otherwise mate... Most pressing issue now should be we tie Mo for 2 years, we tie VVD for 2 years, we tie Trent for another 3 years then off we go to the market for purchases...Yeah kwa mujibu wa mtazamo wangu,.
Embu angalia LHS imetu coast mara ngapi this season? Especially akiwepo Robbo (he is our legend better aondoke akiwa bado anakubalika na mashabiki before its too late or otherwise we might sell Tsimi, sign another LB and Robbo awe back up.
Priority kubwa ni DM and RW, ila Slot strength inaundwa kuanzia nyuma, kuna movements za LHS hazikamiliki kwa kukosa LB, mwenye uwezo wa kucheza possession football, Robbo yes but he isnt the same player, ana struggle sana, na upande wa kule ndio tuna struggle sana kutengenezea mashambulizi mostly we rely RHS, kitu ambacho mkiminywa upande huo you are done.
We need LCB mwenye uwezo wa kucheza LB pia, tupate balance on both side defensively. Then next i will go with RW (any world class player is irreplaceable, but tactics can solve it) same to Salah ila ndio mahali ubora wa mwl. Unahitajika hapo. Unaweza kumpata, name best Wingers in the world currently
Salah, Saka, Rodrygo, X. Simon, Olise, Lamine Yamal, hawa kuwang’oa kwenye vilabu vyao na kuwaleta kipengele in term of price and salary.
But we can bet kwa kuchukua potential na kuja kumvumilia, [emoji81] kuna Bakayoko wa PSV huyu ndiye chaguo la kuja kuchukua njumu za Salah.
DM wapo watatu we can still sign one of them
1. Zubimendi will be a good good deal
2. Ederson from Atalanta.
3.Alan Valera from Porto.
Ynwa’
He is human. Prone to mistakes. Sio muumini sana wa sare lakin kwa ule mchamchaka wa jana Nakumbaliana is na matokeo.Amefanya makubw a kajtia mechi kadhaa kujiamini kumezidi mpaka amefanya kosa la kitoto unaachaje kuhakiki mpira mpira kama upo nje au la ila amedhani ila yote kwa yote mpira ni mchezo wa makosa!
🤣🤣🤣🤣Maneno anayopenda kusoma Saint Anne.Mechi 18 ana goli 3, kufunga hawezi, ni kuachananae tu huyu mtu, anaongoza kwa kutokulenga goli. Hanatuchelewesha sana
Don nyunyezMechi 18 ana goli 3, kufunga hawezi, ni kuachananae tu huyu mtu, anaongoza kwa kutokulenga goli. Hanatuchelewesha sana
Ni kweli ila sare ile ina maumivu sana!He is human. Prone to mistakes. Sio muumini sana wa sare lakin kwa ule mchamchaka wa jana Nakumbaliana is na matokeo.
YNWA
Sare zimeshatu cost sana miaka ya Klopp na kukosa ubingwa mara kadhaa hivyo hatuzihitaji kabisa hatuna historia nzuriiiiii na sare kabisa..Ni kweli ila sare ile ina maumivu sana!
Jana ile itakua mistake ya kwanza ya Kelleher EPL msimu huu...ndio mpira ulivyo even the best can make mistakes wakati usiotegemea.kuhusu mistakes.....mm naona Allison ndo bingwa wa mistakes kuliko hata kelleher na ukumbuke hiyo jana kelleher ameokoa mistakes za mabeki kama mbili ambazo zilikuwa za wazi kabisa tunafungwa
sh*t happens
Liverpool vs Toon Army haijawai kukosa drama na jana ni moja ya mechi bora EPL msimu huu.It's gonna be a bumpy ride tonight against newcastle. Lets hope for the best.
2014 baada ya gerald kuteleza mechi ya chelsea akatoa boko iliyofuata tukapata sare 3-3 dhidi ya crystal palace,kama ulivyosema miaka ya klop imetugharimu sana na hawa everton ni kama mbwa kichaa hawatabiriki bado mechi ni ngumu kuliko hata ya city na madrid!Sare zimeshatu cost sana miaka ya Klopp na kukosa ubingwa mara kadhaa hivyo hatuzihitaji kabisa hatuna historia nzuriiiiii na sare kabisa..
Imekua wiki ngumu sana kutoka kumpiga Real Madrid, na kumpiga Manchester City na sare na Newcastle ugenini nasema safiii sanaaa. Tunaanza tena upya kusaka pointi 3 muhimu sana ugenini vs Everton.
YNWA
UEFA na EPL msimu huu hivyo vikombe navibeba YNWA
Konate is injured
Wampe… Gomez tu
Can't say otherwise mate... Most pressing issue now should be we tie Mo for 2 years, we tie VVD for 2 years, we tie Trent for another 3 years then off we go to the market for purchases...
January hua a bit tricky especially for top performers kuwatoa klabuni but with the right offer hakuna mchezaji asiekua na bei...
Hili la Robbo ni kuna umuhimu wa kua na long term plan na hawa upande ule japo ukitazama kwa goals scored upande upo more productive kuliko RW kwa kua upande ule ndio wanacheza Gakpo na Luiz. Defense wise Jitihada zipo kwa kua yupo VVD upande ule...
Lets see January sio mbali.
My wish ni FSG wasome alama za nyakati wampe Mwalimu sapoti akiwa kwenye fomu hii. FSG walikosea kwa Klopp alivyochukua EPL na UCL pale kwa kweli ilitakiwa chap kuimarisha kikosi lakin wakamtosa aedelee na maajabu yake, i hope haitakua hivyo kwa Slot hizi dirisha 2 zijazo ni crucial sana
YNWA
Tetesi wa kwanza kusaini atakua VVD haha xmas comes early mate.We all wait for the next bullet trigger, to……?!
Contract 1st
Ynwa.
He did well against cityGomez huyu ambaye kila mechi lazima atoe Boko?
Exactly 💯Au sio?
Tetesi wa kwanza kusaini atakua VVD haha xmas comes early mate.
Le Captain with us next 2 years...
YNWA
He did well against city
Itoshe kusema sare ni adui yetu mkubwa sana kwenye mbio za ubingwa...2014 baada ya gerald kuteleza mechi ya chelsea akatoa boko iliyofuata tukapata sare 3-3 dhidi ya crystal palace,kama ulivyosema miaka ya klop imetugharimu sana na hawa everton ni kama mbwa kichaa hawatabiriki bado mechi ni ngumu kuliko hata ya city na madrid!