Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,698
Sijasema ni Makombe ya Arteta bali nimesema ni Mafanikio ya Arteta.
Huwezi kuhesabu Makombe ya City wakati Arteta yupo bila ya kumuhesabu na yeye.
Sikulazimishi uamini hivyo lakini ndiyo ilivyo.
Kwa Klopp tulimuheaabu Buvac alipokuwa msaidizi wake hivyo na kwa Pep Arteta yupo.
Na hoja yangu ya msingi mimi sijajadili Makombe bali nilijadili ukubwa wa Ligi usinihamishe kwenye Mada tafadhali.
Nilichohoji mimi ni hype anayopewa Amorim kupitia Takwimu zake za Ligi ya Matopeni ni kwamba hazina uhalisia linapokuja suala la EPL.
Wewe ukaleta habari za Arteta, nikakujibu Arteta ametoka EPL, ndiyo hapa ukaja na habari za Makombe jambo ambalo halikuwa hoja yangu.
Wala hoja yangu haikuwa kumkataa Amorim kwasababu sijasema kuwa hafai, bali nimehoji jinsi anavyokuwa over hyped kupitia Ligi ya Mchangani.
Hata Gerrard, Brendan Rodgers walikuwa na Takwimu za kutisha kule Scotland lakini EPL ni kituko.
Na ndiyomana nimemtolea mfano Andre Villas Boas.
Huwezi kufananisha Mtu aliyetoka Ligi ya Mchangani na Artena aliyetoka kuwa Kocha msaidizi ndani ya EPL tena kutoka top team.
Juzi hapa tulikuwa tunagawa dozi mfululizo na kuongoza ligi, tukawa tunalia Klopp kwanini Mungu ameruhusu kuondoka mwisho wa msimu.
Tumepoteza mechi chache leo tumejeuka tunasema Klopp hafai ni takataka aondoke haraka sana.
Kweli binadamu ni kiumbe cha ajabu sana hata ukicheza kwenye maji atasema unamtimulia vumbi
Klopp bado ni Kocha bora.
Kwa kikosi alichonacho na majeruhi waliyopata kuwa juu katika Table (2nd after Arsenal) ni uthibitisho tosha wa ubora wake.
Wewe Liverpool wakati inaanzishwa ulikua umezaliwaWaangalie hao wanaomdharau Klopp ni joined JF 2022 baada ya kumaliza Sekondari na ndiyomana hatuwachukulii serious hapa.
Wewe Liverpool wakati inaanzishwa ulikua umezaliwa
Jibu swali wewe wakati Liverpool inaanzishwa ulikua unatarajia hata kuwepo duniani maana si unaleta habari za umriNaona umeibuka from nowhere unataka unataka ubishane na kila mtu
Mkuu bila shaka hua unaangalia Mech... Ishu sio Klopp tu mbali ni ufundishangi wake especially kwenye ishu ya kufunga magoli aidha tuna upungufu wa makocha hio idara ama tuna wachezaji ambao kufunga kwao hawafundishiki especially Nunez... Katika mechi 3 tulizokutana na Manchester United tuna shoti zaidi ya 50 golini lakini je tumeambulia magoli mangapi..Juzi hapa tulikuwa tunagawa dozi mfululizo na kuongoza ligi, tukawa tunalia Klopp kwanini Mungu ameruhusu kuondoka mwisho wa msimu.
Tumepoteza mechi chache leo tumejeuka tunasema Klopp hafai ni takataka aondoke haraka sana.
Kweli binadamu ni kiumbe cha ajabu sana hata ukicheza kwenye maji atasema unamtimulia vumbi
Na mfumo wake huo wa 433Yaani miaka 9 EPL 1 bado Kuna mijitu inamtetea klopp na Jana tumekula kipigo anfield ukweli ni kwamba mzee akili zimeisha akafuge njiwa ujerumani
Anaongelea kuhusu Pepsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye Champion League tulipompiga nje ndani kwenye Robo huyo Pep hakujua kuwa Kombe mbele yake?
Alipopigwa Fainali na Chelsea huyo Pep hakujua kuwa mbele yake kuna Kombe?
Au unaongelea Pep gani na Kombe gani labda?
Dah magoli anayokosa Nunez yangefanikiwa kuwa mabao ingekuwa balaaMkuu bila shaka hua unaangalia Mech... Ishu sio Klopp tu mbali ni ufundishangi wake especially kwenye ishu ya kufunga magoli aidha tuna upungufu wa makocha hio idara ama tuna wachezaji ambao kufunga kwao hawafundishiki especially Nunez... Katika mechi 3 tulizokutana na Manchester United tuna shoti zaidi ya 50 golini lakini je tumeambulia magoli mangapi..
Rate conversion ya Liverpool msimu huu ni 10 kwenye Ligi ina maana hata ubibgwa kwa kufuata stat hati hati kuukosa aisee...
YNWA
Wale ambao wanamjua Gerrard ni kocha lakini hawajui kama amewahi kuichezea Liverpool 😄😄😄Waangalie hao wanaomdharau Klopp ni joined JF 2022 baada ya kumaliza Sekondari na ndiyomana hatuwachukulii serious hapa.
Klopp ameshashindwa ila watu hawataki kukubali tuuWale ambao wanamjua Gerrard ni kocha lakini hawajui kama amewahi kuichezea Liverpool [emoji1][emoji1][emoji1]
We unaongea nini wewe??Klopp ameshashindwa ila watu hawataki kukubali tuu
Justification yao ni hiyo 1epl in 9 years, wanasahau kuwa pia ndiye kocha aliyepewa pesa nyingi zaidi ya usajili kuliko waliomtangulia
Hii inamaanisha klopp akikaa liverpool miaka mingine 9, itakua 2epl in 18yrs
Kocha wa hivi ni kwa timu isiyo na ambition ya makombe kama Arsenal
Ukihesabu makombe yote kuanzia vi community shield mpaka UCL kwa miaka hiyo anakuwa ameshinda mangapi?Klopp ameshashindwa ila watu hawataki kukubali tuu
Justification yao ni hiyo 1epl in 9 years, wanasahau kuwa pia ndiye kocha aliyepewa pesa nyingi zaidi ya usajili kuliko waliomtangulia
Hii inamaanisha klopp akikaa liverpool miaka mingine 9, itakua 2epl in 18yrs
Kocha wa hivi ni kwa timu isiyo na ambition ya makombe kama Arsenal
Rekodi ya Klopp CLUkihesabu makombe yote kuanzia vi community shield mpaka UCL kwa miaka hiyo anakuwa ameshinda mangapi?
Arsenal ambayo msimu uliopita iliongoza ligi kwa point 7 kabisa dakika za mwisho ikaukosaWe unaongea nini wewe??
Arsenal Haina ambition ya makombe kivipi?
Timu isiyo na ambition ya makombe, ikikosa kombe haiumii na Wala hawana mpango wa kuboresha kikosi chaoArsenal ambayo msimu uliopita iliongoza ligi kwa point 7 kabisa dakika za mwisho ikaukosa
Ikatoka Europa kimasihara ili i focus kwenye ligi
Mwisho ikatoka tropyless
Mkuu katazame Net spend ya Klopp utaona ni ndogo mno kuliko unavyodhani.. Kwa kua ameuza wachezaji wengi na kwa bei powa sana inampa net spend y wastani..Klopp ameshashindwa ila watu hawataki kukubali tuu
Justification yao ni hiyo 1epl in 9 years, wanasahau kuwa pia ndiye kocha aliyepewa pesa nyingi zaidi ya usajili kuliko waliomtangulia
Hii inamaanisha klopp akikaa liverpool miaka mingine 9, itakua 2epl in 18yrs
Kocha wa hivi ni kwa timu isiyo na ambition ya makombe kama Arsenal