Mnaisifia sana timu
Ila sioni mtu akimsifia kabisa Kelleher kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Ile mechi ilivyokuwa na presha, Angekuwa Allison anavyotoka nje ya goli tungepigwa kitambo.
Ila mpo kimyaaa.
Semeni tu Kelleher ni mwamba,
Penye kutoa appreciations toeni.
Wale wazima wa afya
Kasobo kamemrukia Klopp kamepaa angani utadhani Rey Mysterio anapiga teke za kamba zile aisee [emoji23]
Nimepata fununu hata Manure kumbe wanammezea mate Edwards.
Yani Real Madrid wangekuwa hawana Mfumo wa ule wa President kuwa ndiyo Mtendaji mkuu basi Papa Perez angekwisha mchukua mazima huyu Edwards kwasababu inaonesha kwasasa ndiye brain ya recruitment huyu jamaa.
Hii ya Edwards kutaka full control nadhani jamaa bado anakumbuka sakata la NABIL FEKIR la mwaka 2018 alilofelishwa dakika za mwisho inaonesha jamaa aliumia sana hivyo hataki tena ujinga kama ule utokee.
Hivyo anataka akija Liverpool kusiwepo tena intervention kama ile aliyofanyiwa kwa Nabil Fekir ili kulinda nafasi ya Jordan Henderson.
Ameekewa Mezani dau la kufa Mtu lakini bado anakataa jamaa inaonesha hana njaa ana Kamini kampuni kake cha kuendeshea maisha.
Ungelikuwa ulishuhudia kilio chetu 2008/2009 na 2013/2014 kipindi ambacho Washabiki wa Liverpool tuliumia zaidi katika Historia ya Liverpool basi usingeandika maneno haya.
Huyo Kelleher mimi naona kwenye highlights ni upuuzi wa ma strikers kama wale marasi kukosa magoli kizembe ndiyo kunamuokoa. Jitu mara lipige nje su ligongeshe mwamba, au lishindwe kukontroo na kuseti mpira vizuri mguuni ili apige, kelleher huyo keshamuwahi.Mnaisifia sana timu
Ila sioni mtu akimsifia kabisa Kelleher kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Ile mechi ilivyokuwa na presha, Angekuwa Allison anavyotoka nje ya goli tungepigwa kitambo.
Ila mpo kimyaaa.
Semeni tu Kelleher ni mwamba,
Penye kutoa appreciations toeni.
Kwa hiyo semi finals uhakika?