Hata ningekuwa mimiIts not about Lucho mbovu it was about underperforming which was correct. Hii huwapata wachezaji. Atleast tulimuona Luiz wa msimu ule aliokuja vs Newcastle na leo pia amecheza vizuri.
We need him tu his fully performance we used to know him.
YNWA
Oh Salah anaenda AfconTuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaanza sasa bila ya Salah [emoji116]
1) Arsenal kafa kwake [emoji3581]
2) ........
Mwisho wa msimu ni kunyanyua vikombe vyoteHongereni liverpool kwa ushindi wa jana.kwangu mimi liverpool jana chini ya klop tactically haikuwa na maajabu sana.Ila kuna vitu viwili ambavyo klop amewazidi makocha wote wa epl.
1-utilization of resources.jamaa anajua kupata the best out of average.ukitazama wachezaji wa liverpool sio world class vile isipokuwa wachache tu,ila wanakupa a very best perfomance.hapa ndipo unajifunza maana ya kukusanya wachezaji na kutengeneza timu.
2-Fighting spirit.he is next to none.usifanye tathmin kwa mech tano au kumi zilizopita.Sijui huwa anawaambia nini,sijui huwa anawalisha nini,sijui huwa anawaahidi nini, ila tu ukiwatazama wachezaji wa liverpool usoni unaona kabisa hili ni jeshi lenye comander and they are ready to give it all for their team.
Liverpool ni mahali pekee unapata ile spirit ya kiingereza hasa.guardiola,arteta,poch wanavikosi vyenye quality hasa ila spirit yao kwa timu ni average.
Mwisho wa msimu kuna kitu watapata ila sijui ni nini.
Hongereni
Tulisema tugawane. Nyie tuwapige FA halafu tuwaachie mpambanie ubingwa. Sasa nyie mbona mmekuwa vigeugeu?Ngoja tuone timu ya Dunia Arse8 inavyoanza EP ligi January,kama jinsi mlivyosema wazee wa kufocus.
Sisi gari ishawakaTulisema tugawane. Nyie tuwapige FA halafu tuwaachie mpambanie ubingwa. Sasa nyie mbona mmekuwa vigeugeu?
Kwahiyo mlivaa na jezi nyeupe ili tukianza kuwapongoa damu imwagike vizuriTulisema tugawane. Nyie tuwapige FA halafu tuwaachie mpambanie ubingwa. Sasa nyie mbona mmekuwa vigeugeu?
Good analysis
First half tulipwaya
Tuna watoto wazuri sana
Liverpool walicheza mpira kwa dk 20 tu za mwisho.. Muda mwingi tulikuwa tukishambuliwa na tulifanikiwa kuzuia mashambulizi yao arsenal sio kwa sababu tulikuwa wazuri kwenye kuzuia, bali kwa uzembe wa forward line ya Asenal.
Havert na, Saka wamekuwa useless kwa sasa. Chance nyingi walipata lakini walishindwa kutuadhibu.
Tumefanikiwa kuvukabhii hayua lakini sijafurahishwa na kiwango tulichocheza.
TAA, Konate, Diaz na jones ndio wachezaji waliocheza vizuri jana. Wengine kwa kweli ni kawaida sana kwa walioanza.
Sub ya jota na gravenbach zilileta uhai kwenye forward line yetu.
Wale madogo wetu wawili kwa sasa wanahitaji nguvu maana viwango vya mpira tayari wanavyo. Bado nguvu hawana.
Imagine kuna kipindi SAKA tulitaka kuaminishwa ndiye best Winger in EPL [emoji706][emoji706]
Makinda yanayoibukia Sapain, Germany na Italy huwa yanadevelope vizuri tu kama kina Sancho, Pulisic, Werner, Vini, n.k.
Lakini makinda yanayoibukia EPL au wale waliotoka Spain, Italy na Germany wakina EPL basi wanaishia kupotea baadae na ni wachache sana ndiyo wanaoendeleza Consistency tofauti na zamani walivyoibuka kina Gigs, Scholes, Beckham, Owen, Gerrard, Lampard, MacCmanaman, Ian Right n.k.
Yaani waliibuka kina Dle Ali, Mount, Foden, Reece, Trent, Sancho, Saka but hapo ni Trent pekee ndiye kaingia kwenye class ya World Class.
Saahizi watu wanajipigia tu. Pongezi zimfikie west ham kwa kuzibua mtaro, saahz raia wanajifiria tu
Naona wengi mikopo imekatishwa na Liverpool January hii sielewi ilikua na impact dogo sana huko walikokua au niaje kasoro Owen ambae ni Klopp ameseme arudi kukava LB..
Wapo
Owen Beck
Ramsey
Rhys
Philips
James Balagizi
Fabio C
YNWA
Weka na hawa hapo
Melkamu Frauendorf
Ben Doak
Mabaya
Lee
Oakley
Kadie Gordon
Marcelo Pitaluga
YNWA
Mie nilivyoona wanaanza blah blah za rangi za jezi nikasema yessHaha Amabangile amesema wakavaa nyeupe ili kuwatisha ni Madrid.! Dah.! Mpira aisee
Chaliangu niaje apo Abu Dhabi?Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.π€£π€£π€£
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau π‘π‘π‘π‘
Kwa nionavyo sasa hivi makocha wengi wanataka players wacheze kwa akili ya kocha na sio kwa uwezo wao. Babu don Carlo alielezea hili kuwa mpira wa sasa unawalimit sana players kutumia talents zao kuuchezea mpira. Akasema wewe wafundishe wachezaji basics za mpira kisha waache wacheze kwa uhuru na talents zao, which is Yes button to me.
Hapo kwa Saka ni last season na football ilivyo mtu akiwa kwenye peak na umri mdogo ndio yale New βββββββ. Mie niliingia ukakasi walipomfananisha Salah na Saka last season kuwa Saka is ahead Salah. Kwa stats hizi kweli walitaka tuamini hivyo?
Saka did better but not than Salah individually:- Last season stats EPL & CL.
Salah scored 19 goals and 12 assists.
Saka scored 14 goals and 11 assists.
EPL Stats only.
UEFA
Saka registered 2 goals with 0 assist.
Salah registered 8 goals with 2 assists.
Hapa Salah alikuwa na msimu mbovu individually and as a team.
Paul Merson akatushauri tumuuze Salah kwa ile offer ya wa Saudi, kisha tumchukue Saka kwa 150.