The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Umesema sera ya FSG sio kusajili wazee hao niliokutajia ni vijana?
Siwezi kukaa kimya kama unaongea uongo,hakuna timu ambayo ina sera ya kusajili wachezaji wasio na vipaji
Hehehe Jibu Zuri hehe ila Wazee nao muhimu kusaidia ila wengi wao anaonunua ni vijana wadogo kuliko wingi wa Wazee. Turudi watu wa Humu Mie bado sijarizika na Usajili zaidi ya Lambert nimekaa nimetafakari jamaa kutoka bench haitomuuzi anafanya kazi ya timu anayoipenda moyoni jengine tofauti yake na Carrol yeye ni Rahisi sana na jamaa Freekick anaziweza tumeona EPL Assist anaziweza kwa ujumla mpira chini nakumchezesha wenzake anaweza ushahidi upo kufunga anajua mwenye macho ya kuona ameona aliowazidi kwenye timu kubwa kwa magoli sina haja kuwataja....... Na ni rahisi hakuna kilichopotea Sema sasa Huyu Moreno bora angekuja Ashley Cole Mie sijali umri na Emre bei sio mbaya na kutia mguu bundesliga ukitegemea kacheza Kama kiraka Defence Midfield,LB,LW na Attacking Middle sio kitu rahisi ila Lallana na Shaqhiri nao sio wakuja LFC wakuja ni hawa naowataja haswa ni Lovren wafanye juu chini 1.Lovren2. Mascherano na Alex. Song 3.Lazar Markovich wa. Benfica basi wengine atajiwa mwenyewe Rogers sio kuumiza kichwa Lallana pesa kibao na tunavyocheza Lallana atakuwa Flop au Raheem mpira utashuka sababu atampeleka kushoto.
Yule Kolopyonka sijui ah jamaa nasikia Mwenye ile timu anachuki na LFC mwenye timu anayoichezea anachuki zake binafsi na timu ya LFC toka zamani so hataki kufanya Business nao nao inaonyesha LFC hawataki tena kuumiza kichwa ila Agency wake April alikuwepo Anfield Sema mwenye timu roho ya korosho na anaonyesha anapesa, Agger nasikia anaweza kuuzwa au a kabaki ila mpaka sasa Usajili sijafurahi mpaka nione beki Lovren na Middle ya kinyama.Jamani akina MosDef mbona simsikii kabisa kuhusu kiungo huyu toka Ukraine tuliye mkosa kipindi kile?
Skrtel atacheza na nani?Na Agger?Maana Sakho na Skrtel wakicheza pamoja hatuwahi kinda clean sheet!
Yule Kolopyonka sijui ah jamaa nasikia Mwenye ile timu anachuki na LFC mwenye timu anayoichezea anachuki zake binafsi na timu ya LFC toka zamani so hataki kufanya Business nao nao inaonyesha LFC hawataki tena kuumiza kichwa ila Agency wake April alikuwepo Anfield Sema mwenye timu roho ya korosho na anaonyesha anapesa, Agger nasikia anaweza kuuzwa au a kabaki ila mpaka sasa Usajili sijafurahi mpaka nione beki Lovren na Middle ya kinyama.
Jamani akina MosDef mbona simsikii kabisa kuhusu kiungo huyu toka Ukraine tuliye mkosa kipindi kile?
Skrtel atacheza na nani?Na Agger?Maana Sakho na Skrtel wakicheza pamoja hatuwahi kinda clean sheet!
Source :metro...dil ya moreno tayar kwa p 18m..next wik dogo anakuja mjin kupimwa afya....I HOPE it'z tru.
BR atawasha Moto CL league nxt season sijui nani atakaeuzima aiseeee
tukifanikiwa kufunika mashimo kwenye beki,we will have the magnificent season
Mkuu ni sawa ila kwa Upande wangu naona Beki tulizonazo ni bora kupita maelezo sema tu tatizo lililoleta kuonekana kua mbovu ni kutokucheza pamoja muda mrefu na kua na partnership nzuri tu ya maana bhaaaasssiiii.
Moreno Uyoooooooooooooooooooooo
Liverpool close to sealing Alberto Moreno deal as Sevilla left-back jets to England | Mail Online
Hehehehe namna alivyosema ni kweli yupo happy Mie fur aha yangu mpaka ni muone Lovren wa Crotia jamaa namuaminia atawapa sana tabu Brazil kushinda ufunguzi.Kijana naona uko happy sana. Hongera
Moreno Uyoooooooooooooooooooooo
Liverpool close to sealing Alberto Moreno deal as Sevilla left-back jets to England | Mail Online
Mkuu hiyo sio source pekee iliyo reporthilo gazeti sio reliable source ndugu yangu.