We go again
Kikosi kimetulia...
Again Chambo gets the nod today.. Hopefully he realise this is good as he can gets...
Cant say otherwise...Mfumo wa klopp unamfavor zaidi Henderson.
Hahaha Chambo kaamka aisee...Tunahitaji another goal to kill hii mechi.
Yaaani Leo kimtindo utulivu haupo ndio maana Klopp anang'aka...Duuuuu fabinho kacheza boko, tukashambuliwa, Alexander kacheza mwamba kuokoa. Ni noma.