Nadhani ki-spending Arsenal wanaweza kuwa katika hali nzuri msimu ujao kuliko United. Naamini Arsenal ya msimu ujao itakuwa na mabadiliko mengi kuanzia Manager, bado naamini Wenger hatosaini extension inaelekea alikuwa na mpango wa kuondoka msimu huu sema alipush over baada ya SAF ku-retire. Man Utd ya Moyes itahitaji more than 2 seasons kurudi juu plus mtahitaji kununua wachezaji kwanza watakaokuwa na imani na Moyes pili wenye uwezo unaostahili kuvaa jezi kubwa kama yenu.
Defensive Blunder imewaua...
Yani we Acha tu! Hawa wako sawa na mgonjwa alie maututi!
Mara utasikia Hali yake mbaya sn Mara ananafuu!
Au mvua zinazoendelea kunyesha zinakata mawasiliano eti?
Tena kutoka kwa captain..ila leo Kompany kalazimisha/kalazimishwa kucheza, kwani alikuwa majeruhi...
Teh Teh Teh Teh
Hawa ni sawa na TBC1
Sema hawajazoea shangwe..hivyo hawaamini amini...ndio maana wamejificha huko...
haya nashukuru kwa kunielimisha