LIVE:Yanga VS Black Leopard CCM Kirumba

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Habari Wanabodi?

Tayari nimeingia ndani ya jiji la Mwanza Mchana huu,kwa wale wapenzi wa soka hususani wale mashabiki wa Yanga nitakuwa ndani ya uwanja wa CCM Kirumba Jijini hapa kuwaletea LIVE pambano kati yao na Black Leopard kutoka nchini Afrika Kusini,nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwajuza kila kitu kuanzia majira ya saa 10:30 ambapo pambano litakuwa linaanza.

Kwa sasa niko Villa nadhani watu8,Makoye Matale,na wengineo wengi wale mashabiki wakubwa wa soka wanaihua vizuri hii Villa kwa sababu iko pembezoni mwa Uwanja wa CCM Kirumba.



 

I here remember Mphamvu on this topic. But will Young Afican being ahead of

 
Last edited by a moderator:
Naona mnasupply mzigo wa kanjibai

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nimesikia star tv ni mojawapo ya wadhamin hiyo game vp Itakuwa Live thru Star tv
 
nimesikia star tv ni mojawapo ya wadhamin hiyo game vp Itakuwa Live thru Star tv

Mkuu hakuna Live huko,LIVE iko humu JF we tuliza zako boli humu utapata kila kitu,wala usitishie shaka.
 
Nimemaliza kula ngoja nistue mbili halafu moja kwa moja ndani ya uwanja
 
Asante sana Yanga.Hakika nyie ndo mnanisababisha nijivunie kuwa mtanzania
 
Asante sana Yanga.Hakika nyie ndo mnanisababisha nijivunie kuwa mtanzania

Mkuu unaipenda sana yangaeeeeeee??!!!haya wako uwanjani sasa hivi wanapiga jaramba.
 
Naona mnasupply mzigo wa kanjibai

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ndo hapo sasa mkuu ,ni kweli baada ya ulaya na middle east sasa unapelekwa bondeni.kazi kweli kweli.Kuna uzi unaulizia Black Leipold inacheza ligi daraja la ngapi bondeni maana wanaoneakana kama veterans.?
 
Black Leopard wanaonesha makali yao kwenye dakika hizi tatu za kwanza,wamecheza pasi nzuri.
 
Bahanuzi anafunga bao la kwanza dakika ya 5
 
Anapiga kiki kali ankosaaaaa!,Black Leopard anakosa bao dakika ya 10.
 
Dakika ya 11 Bahanuzi anakosa bao,shuti lake linapanguliwa na kipa na kutoka nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…