Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Nyie Villa vipi!, mnaitia aibu nchi yenu, Ombeni mletewe juice ya Azam cola ili muwe na nguvu ya kurudisha hayo magoli.
 
Ni kweli Mkuu, timu yenyewe mbovu, tunaweza kudhani tuko vizuri kumbe mpinzani yuko hoi taabani. Hivi Mkuu ni lini ulisikia mchezaji aitwaye Mombeki kafunga bao 2 zaidi ya jana?
nasikia jamaa kaenda simba kumalizia career yake halafu kawaambia hawana hela ya kumlipa ngoja tuone ligi ikiianza atakuwaje maana yeye acheza tu kuhusu mkwanja anajijua mwenyewe..
 
Dk 10.
Tegete out-Javu in.
Yondani out-Zahir in.
 
Alibahatisha 4-1, alichomoa kibahatibahati tu na kupata vigoli vya kubahatisha sana. Jana walipiga kelele sana, eti wanaujua wamesahau kuwa kwa muda mrefu sasa walikuwa wamenyong'onyezwa na vichapo tangu Libolo FC hadi URA.

Duh leo tukishinda 3-1 hawa jamaa watachonga dawa kupiga 8.
 
mandieta endelea kutujuza maana wengine ndio kwanza tutafika Dar baada ya mapumziko ya wikiendi ya siku takribani nne
utakufa kwa kihoro cha kusikilizia maana hii yanga utasikia zimerudi zote..
 
nasikia jamaa kaenda simba kumalizia career yake halafu kawaambia hawana hela ya kumlipa ngoja tuone ligi ikiianza atakuwaje maana yeye acheza tu kuhusu mkwanja anajijua mwenyewe..

We ni miongoni wa wanazi wa simba usie kata tamaa ila akina Crashwise mmmh
 
Last edited by a moderator:
Duh leo tukishinda 3-1 hawa jamaa watachonga dawa kupiga 8.

Mkuu usihofu, Yanga wameonesha kiwango zaidi ya Simba halafu Villa kachomoa kwa Yanga wakati jana Simba ndiye alichomoa baada ya kufungwa. Ngoja wajifariji na ushindi huo kwa vibonde, ligi ikianza utaniambia Mkuu Inshaallah tukifika.
 
Back
Top Bottom