Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Dk 33:
Yanga 3-1Villa.wafungaji Yanga.
Ngassa Dk 7.
Cannavaro dk 27.
Kavumbagu dk 30.
Boli wanalocheza Yanga ni la Uholanzi kabisa.
 
Huyu Canavaro naona anataka kuchukua namba ya Tegete pale mbele. Leo katungua kamoja
 
Kuna dogo anaitwa Issa wa Yanga,kama ataingia basi lazima S.C.Villa wake mpira kwapani,maana dogo ni balaa tupu.
 
Dk 33:
Yanga 3-1Villa.wafungaji Yanga.
Ngassa Dk 7.
Cannavaro dk 27.
Kavumbagu dk 30.
Boli wanalocheza Yanga ni la Uholanzi kabisa.

Yanga ndo habari ya mjini. Huko msimbazi bi. Hindu ndo stories yenyewe.
 
Yanga 3- villa 1 hadi mapumziko. Kuna taarifa kuwa hii timu ya villa ndio kwanza wanajiunda upya baada ya msimu uliopita kushika nafasi ya 4 kwenye ligi yao. Wachezaji wao wengi ni vijana wanaowapika kwa msimu ujao wa ligi. Kiufundi sio kipimo kizuri kwa timu zetu.
 
Naona watu hapa wana.compare matokeo ya leo Yanga Vs Villa na yale ya jana Simba Vs Villa. Lakini wanasahau kwamba Simba ilipokutana na Yanga, ubao ulisomeka 5-0
 
Back
Top Bottom