Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Yanga ndo habari ya mjini. Huko msimbazi bi. Hindu ndo stories yenyewe.
Hahahahahaha.
Hivi bi Hindu ndiye yule ninayemuonaga pale kwenye mataa Tazara anamkaangizia mapochopocho mzee small kwenye lile li TV kubwa la Azam?
Maana nasikia anataka kuirithi nafasi ya Rage.
 
Yanga 3- villa 1 hadi mapumziko. Kuna taarifa kuwa hii timu ya villa ndio kwanza wanajiunda upya baada ya msimu uliopita kushika nafasi ya 4 kwenye ligi yao. Wachezaji wao wengi ni vijana wanaowapika kwa msimu ujao wa ligi. Kiufundi sio kipimo kizuri kwa timu zetu.
kwa hapo villa wapo mazoezini mkuu.. mbona mpaka sasa ishafikia wiki aisee kama mazoezi ndio hivi kazi ipo..
 
Hahahahahaha.
Hivi bi Hindu ndiye yule ninayemuonaga pale kwenye mataa Tazara anamkaangizia mapochopocho mzee small kwenye lile li TV kubwa la Azam?
Maana nasikia anataka kuirithi nafasi ya Rage.
teh teh eteh etehh huyu msonjo watakoma nae...
 
Naona watu hapa wana.compare matokeo ya leo Yanga Vs Villa na yale ya jana Simba Vs Villa. Lakini wanasahau kwamba Simba ilipokutana na Yanga, ubao ulisomeka 5-0

Mavi ya kale hayanuki, hata Man City alimpiga Man U 6-1! Mla ni mla leo, mla jana kala nini?
 
Hahahahahaha.
Hivi bi Hindu ndiye yule ninayemuonaga pale kwenye mataa Tazara
anamkaangizia mapochopocho mzee small kwenye lile li TV kubwa la Azam?
Maana nasikia anataka kuirithi nafasi ya Rage.

mkuu nahisi utakuwa unamuongelea bi chau, ndio huwa yupo close na mzee small wa ngamba.., hao villa naona wanataman wasirud kpnd cha pili, hii ndio yanga!!!!!!!
 
nani kasema watu walikula nane na bado wanashangilia sembese nyie wazembe wa yanga..
Hahahahahaha.
Sasa mbona mwenzio umemuacha?
Unategemea kupambana kwa njia gani hapa juu?
By the way,matokeo ni.
Yanga3-1S.C.Villa
Ngassa kaanza kazi leo.
Teh teh teh teh teh

Cc @Rage Masuke kaburu hans Poppe
 
Last edited by a moderator:
mandieta endelea kutujuza maana wengine ndio kwanza tutafika Dar baada ya mapumziko ya wikiendi ya siku takribani nne
 
Yanga 3- villa 1 hadi mapumziko. Kuna taarifa kuwa hii timu ya villa ndio kwanza wanajiunda upya baada ya msimu uliopita kushika nafasi ya 4 kwenye ligi yao. Wachezaji wao wengi ni vijana wanaowapika kwa msimu ujao wa ligi. Kiufundi sio kipimo kizuri kwa timu zetu.

Ni kweli Mkuu, timu yenyewe mbovu, tunaweza kudhani tuko vizuri kumbe mpinzani yuko hoi taabani. Hivi Mkuu ni lini ulisikia mchezaji aitwaye Mombeki kafunga bao 2 zaidi ya jana?
 
Hahahahahaha.
Sasa mbona mwenzio umemuacha?
Unategemea kupambana kwa njia gani hapa juu?
By the way,matokeo ni.
Yanga3-1S.C.Villa
Ngassa kaanza kazi leo.
Teh teh teh teh teh

Cc @Rage Masuke kaburu hans Poppe
haya naona kina baamedi na msuva bila kmsahau kavimba mguu watafute timu maana ngasa ndio hivyo tena ataongeza mke wa nne safarii hii..
 
Msuva alikuwa majeruhi pamoja na Domayo na Twite. Wameanza mazoezi mepesi
 
Simba alishinda ngapi?

Alibahatisha 4-1, alichomoa kibahatibahati tu na kupata vigoli vya kubahatisha sana. Jana walipiga kelele sana, eti wanaujua wamesahau kuwa kwa muda mrefu sasa walikuwa wamenyong'onyezwa na vichapo tangu Libolo FC hadi URA.
 
mandieta endelea kutujuza maana wengine ndio kwanza tutafika Dar baada ya mapumziko ya wikiendi ya siku takribani nne

Mpwa jana upande wa wakina Rage walishinda ngapi?
 
Back
Top Bottom