Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Full time.
Yanga4-1S.C.Villa.
Tunawasubili Azam kwenye ngao ya hisani.Ngoja tuwahi usafiri wa gomz.
 
Mkuu watu8 naona Mkuu ndetichia kaweka uzalendo pembeni kakurekebishia hapo.
Yanga 4-1 S.C.Villa
Wafungaji kwa Yanga.
Ngassa-dk7
Cannavaro-dk27.
Kavumbagu-dk30.
Niyonzima-dk61.
 
Last edited by a moderator:
Hahah nimeona maana anajua kwenye ukweli uongo hujitenga...

Mkuu watu8 naona Mkuu ndetichia kaweka uzalendo pembeni kakurekebishia hapo.
Yanga 4-1 S.C.Villa
Wafungaji kwa Yanga.
Ngassa-dk7
Cannavaro-dk27.
Kavumbagu-dk30.
Niyonzima-dk61.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 naona Mkuu ndetichia kaweka uzalendo pembeni kakurekebishia hapo.
Yanga 4-1 S.C.Villa
Wafungaji kwa Yanga.
Ngassa-dk7
Cannavaro-dk27.
Kavumbagu-dk30.
Niyonzima-dk61.
Mmekopy na kupaste, hata hivyo hawa jamaa walikuwa wamechoka, mngeanza nao wako fresh msingefunga magoli yote hayo, subirini wana ice cream wawashikishe adabu kwenye ubao wa hisani.
 
Last edited by a moderator:
wakuu naomba mtujulishe kiwango cha yanga kilikuwaje leo? je wanacheza mpira wa kueleweka na wa kiushindani?

Mkuu kwa bahati mbaya leo sikuwepo taifa...labda mkuu mandieta anaweza kuwa na jibu maridhawa kwa swali lako...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Isoliwaya gem ilikua nzuri hasa dk 30 za mwanzo.
Ila kwa kifupi timu ni nzuri,straking force yake ni kunwa sana hasa combination ya Kavumbagu,Niyonzima,Jerry na Ngassa.
 
Last edited by a moderator:
Unasemaje? Ngoja nitafute rekodi kwenye mafile yangu nitarudi.
Mkuu Masuke usiandikie mate wakati wino upo.
S.C.Villa wapo Dar nenda kawaulize.
Na ata ukiingia Kampala leo,bado kuna daladala nyiiiiiingi zimeandikwa Lunyamila,Saidi Mwamba,Mohamedi Huseni.Na ata basi La S.C.Villa limeandikwa kwa nyuma neno "JANGWANI"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom