kama hakuna nyomi mashabiki wa Rocky City wanatuangusha
KCC piga hao ndala, mechi za kirafiki ni ngumu kuhonga.
Dah! nasikitika naimiss hii mechi jamani lol!
Siyo lazima nyama kwa nyama bhana,ata kwa condom inanoga,wewe fatilia humu ndani tuu mkuu!Dah! nasikitika naimiss hii mechi jamani lol!
kwani kuna umbali gani huko uliko?wahi uwanjani
Siyo lazima nyama kwa nyama bhana,ata kwa condom inanoga,wewe fatilia humu ndani tuu mkuu!
Mkuu hii mechi nataka sana mfungwe ili kelele humu JF zipungue.Mkuu shikamoo! vipi umetoka kwenye Nyahuhu ama vipi?!
Tafuta vitenge ufunge tu kichwani utoke kimama afrika wakati unaenda kushangilia young afrika, ina nasikitika KCC lazima watembeze kipigo kwa hiyo kama utafuata ushauri wangu wa kufunga kitenge kichwani angalia usije ukajikuta huna kwa kushika shika kichwa ukilaumu jinsi Ngasa atakavyokuwa anakosa magoli ya wazi.Fidel80, niko saluni nasuka, sitaiwahi aise, inaniumaje? sijui kesho niende shinyanga?
Dah! nasikitika naimiss hii mechi jamani lol!
Mbona hicho kikosi cha Yanga kina majina mengi mapya!!
Mleta Updates uko wapi?
Mbona kimya? ndio kusema haujaanza au makusudi tu?