Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,235
- 5,332
Uongozi wa Club ya Simba unawaomba radhi mashabiki kwa ushindi mwembamba walioupata dhidi ya Biashara.
Wewe Mzamiru anajua sana mpira na sasa hivi kiwango Chake kiko juu sana. Kawafunga Yanga goli la Nne, Kawafunga Mtibwa lile goli moja Wakati yeye sio mfungaji ni kiungo mshambuliaji. Na sio kiungo mkabaji kama Mkude.Sijawahi kumkubali kabisa, anafanya makosa mengi sana uwanjan anakuja kubahatisha kigoli kimoja ambacho kimahesabu kinakuwa hakina faida kulinganisha na Mchango wake uwanjani
Mtu na Nusu.Konde boy ame assist zote tatu...huyu mtu siyo poa hata kidogo
Hana namna zaidi ya kujituma, Ndemla na Ajibu walijisahau sana muda mrefu, walijiona kuwa wameshajua, walipokuja wageni na kucheza mpira mkubwa nao wameanza kucheza soka ya kiwango Chao.Nimependa sana alichokifanya Ndemla Leo.Kaupiga mwingi sana .
Naona kocha kaanza kumuamini now.
Na mimi nashangaa.Hivi Tanzania bado kuna Mtu asiyeishabikia Simba.
Poa.Uongozi wa Club ya Simba unawaomba radhi mashabiki kwa ushindi mwembamba walioupata dhidi ya Biashara.