Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 695
- 901
Usje ukakimbia tuuu
Subiri uone mziki kipindi cha pili.
Usje ukakimbia tuuu
Sijawahi kumkubali kabisa, anafanya makosa mengi sana uwanjan anakuja kubahatisha kigoli kimoja ambacho kimahesabu kinakuwa hakina faida kulinganisha na Mchango wake uwanjaniNdugu unaangalia mpira?
Vp mzamiru?
😁😂😅😄Hii ndio Simba sasa
Yanga Huko Nguo Zinawadondoka Kwa Hofu 😁😂🤣46' Simba 2
burudani imerejea
Aisee na mimi nikawa nashangaa mpaka nikawa natafuta kikosi chao, du jamaa mkongwe kweliRedondo bado yupo,, daah
Ngap? . ...Subiri uone mziki kipindi cha pili.
Mpenja anasema "Mpira unapigwa mpaka unamwagika"46' Simba 2
burudani imerejea
toka nianze kuangalia sijaona Manula akidaka shuti,kakaa tuMpenja anasema "Mpira unapigwa mpaka unamwagika"
Ngoja tuwafundishe matumizi ya kiwanja hiki( Kwa Mkapa)
umeona alivyokataa hicho chuma?Kuna mtu alisema leo,kikwazo kwa Simba atakuwa Ni kipa wao!
Huyu Golikipa Ni Nani!?