Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Mpwa najisogeza jamhuri taratibu kukuletea laivu mpambano.
Mi nikajua ni Taifa droo inawahusu mpwa
Mpwa najisogeza jamhuri taratibu kukuletea laivu mpambano.
Laiti kama Mtibwa wangejua tunachotaka wafanye, wasingetuangusha. Wafanye yale waliyofanya kwenye ile friend match kwa kuwazabua kimoja tu.
Mkuu yale mambo ya kusikiriza matangazo ya Mpira kupitia kituo cha redio yashapitwa na wakati. Nakushauri nunua king'amuzi cha Azam ujifaidie uhondo.hv mech saa ngapi na kituo gani cha radio?
Kw kw kw kw kw kw, wenzako tunajadili ubingwa wewe umekali nafasi ya tatu!?.
Kama mashabiki wao tu mmeingia uwanjani na tayari mmeshaanza kuona mauzauza wakati mpira haujaanza,vipi wachezaji watakua ktk hali gani?Simba wanapata bao la kwanza hapa dk ya 4 ya mchezo mfungaji Amis Tambwe
mtibwa 0 simba 1
twende kazi
Kama mashabiki wao tu mmeingia uwanjani na tayari mmeshaanza kuona mauzauza wakati mpira haujaanza,vipi wachezaji watakua ktk hali gani?
Sisi watu wa pwani tuna kajimsemo ketu, "Alie kutangulia.................................................."Sijui Unazungumzia Ubingwa Upi? Huu Mzunguko Wa Pili Kama Cjakosea Kila Team Ilishacheza Mechi Tatu Jiulize Bado Mech Ngap?
Mkuu umekunywa Chimpumu au Kabanga? Mpira haujaanza mara tayari Simba kesha shinda!!!Simba wanapata bao la kwanza hapa dk ya 4 ya mchezo mfungaji Amis Tambwe
mtibwa 0 simba 1
twende kazi
Hahahahahaha!sidhani kama utatumu humu ndani kwa wiki mbili hizi.nilijua tu utajibu,nlikuwa nakujambisha tu!
Subiri sindano ikuingie,
simba daima ushindi
Hahahahahaha!sidhani kama utatumu humu ndani kwa wiki mbili hizi.
Mtibwa sukari piga hilo litimu mikia fc linaloshinda kwa kupewa penalt 2-0 lirudi likale nyasi
Umeongea kiume. CC Mods.mtibwa wakishinda leo mods anipe ban la wiki