Live Updates: VPL 05/02/2014 Mtibwa Sugar v Simba Sports Club

hv mech saa ngapi na kituo gani cha radio?
Mkuu yale mambo ya kusikiriza matangazo ya Mpira kupitia kituo cha redio yashapitwa na wakati. Nakushauri nunua king'amuzi cha Azam ujifaidie uhondo.
 
Natumia Cm Mkuu Ndio Maana Unaona Sitoi Like.
Mim Humu Ni Mkongwe Sema Ckutaka Kuingia Ndani, Nilikuwa Bench Naona Vijana Mnapiga Kazi.

Cc: Makoye Matale
 
Kw kw kw kw kw kw, wenzako tunajadili ubingwa wewe umekali nafasi ya tatu!?.

Sijui Unazungumzia Ubingwa Upi? Huu Mzunguko Wa Pili Kama Cjakosea Kila Team Ilishacheza Mechi Tatu Jiulize Bado Mech Ngap?
 
Simba wanapata bao la kwanza hapa dk ya 4 ya mchezo mfungaji Amis Tambwe
mtibwa 0 simba 1
twende kazi
 
Mtibwa team,piga haya matutusa goli 4 yarudi kwao Msimbazi mikia chini.
Cc Masuke
 
Last edited by a moderator:
Simba wanapata bao la kwanza hapa dk ya 4 ya mchezo mfungaji Amis Tambwe
mtibwa 0 simba 1
twende kazi
Kama mashabiki wao tu mmeingia uwanjani na tayari mmeshaanza kuona mauzauza wakati mpira haujaanza,vipi wachezaji watakua ktk hali gani?
 
Kama mashabiki wao tu mmeingia uwanjani na tayari mmeshaanza kuona mauzauza wakati mpira haujaanza,vipi wachezaji watakua ktk hali gani?

nilijua tu utajibu,nlikuwa nakujambisha tu!
Subiri sindano ikuingie,
simba daima ushindi
 
Sijui Unazungumzia Ubingwa Upi? Huu Mzunguko Wa Pili Kama Cjakosea Kila Team Ilishacheza Mechi Tatu Jiulize Bado Mech Ngap?
Sisi watu wa pwani tuna kajimsemo ketu, "Alie kutangulia.................................................."
 
Simba wanapata bao la kwanza hapa dk ya 4 ya mchezo mfungaji Amis Tambwe
mtibwa 0 simba 1
twende kazi
Mkuu umekunywa Chimpumu au Kabanga? Mpira haujaanza mara tayari Simba kesha shinda!!!
 
Mtibwa sukari piga hilo litimu mikia fc linaloshinda kwa kupewa penalt 2-0 lirudi likale nyasi
 
Siku 11 za hatari na balaa kwa Simba.
Feb 05:Mtibwa vs Simba.
Feb 09:Mgambo vs Simba
Feb 15:Mbeya city vs Simba
 
Back
Top Bottom