Live Updates: VPL 05/02/2014 Mtibwa Sugar v Simba Sports Club

Wakuu sitaweza kuwaletea Live niko sehemu mbaya, mtandao haushiki vizuri. Hadi sasa Mtibwa 1-0 Simba.
 
mtibwa wameshaanza kukinukisha mapemaaaaaaaaaaaaaa sasa wakaze buti sio kuanza kucheza ulojo ulojo halafu dk 90 unaambiwa eti 4-1
 
salama mkuu, binafsi kitambo kdgo sijakuona jukwaani, kwema?
alikuwa amefichwa na jimama hili..
1625652_626813990718967_605079311_n.jpg
 
Back
Top Bottom