hahahahaha daa jf raha tupu.
Amosi and Josh next
nasikia fainali ya bss ni leo, vipi wanaonesha live?Hahahaaa...
Amosi and Josh next
nasikia fainali ya bss ni leo, vipi wanaonesha live?
Hili shindano bana ni gumu kinoma noma...
mbona anabongeka, naona maisha ya nairobi yamemkubali
Kuna watu wanazidi kuhatarisha maisha ya Hisia kwenye academy.
Lets pray for him.
Wivu wangu ulimkondesha